Recent content by Mandela Jr.

  1. Mandela Jr.

    JamiiForums Tanzania Safari ya kujitafuta 2025 inaanzia hapa! Hisa 129,700 za CRDB, NICOL 3864, UTT 400k safari inaendelea

    Kila la kheri mkuu..penye Nia njia ipo pia.
  2. Mandela Jr.

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kisasi changu kitalipwa na Mungu

    Hili ni sawa, Mungu aliyemwokoa na kifo ndiye atayelipa kisasi kwa kadri ya atakavyo!
  3. Mandela Jr.

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta: Wakenya hawapaswi kujilinganisha na mataifa yanayoficha taarifa za COVID-19

    Mungu awasaidie kama alvyotusadia Tanzania. Hakuna kinachofichwa, ni utukufu wa Bwana umetufunika!
  4. Mandela Jr.

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti kati ya Maruhani, Mapepo, Mashetani na Majini?

    Pamoja na ufafanuzi utakaotolewa hapa, jambo moja muhimu ni kwamba; Hizi zote ni kazi za ufalme wa giza ila kwa ngazi tofaututofauti. Na Ufalme wa Nuru hufukuza kila aina ya giza, bila kujali ngazi husika!.
  5. Mandela Jr.

    JamiiForums Tanzania Serikali: Kila Jumamosi ya Mwisho wa Mwezi itakuwa Siku ya kufanya Usafi nchini!

    I'm not exactly sure if are the things/matters to be dealt with the central government.
  6. Mandela Jr.

    JamiiForums Tanzania Picha: ACT- Wazalendo yapata Meya Kigoma mjini

    Si kwamba nadhihaki,. Kama siyo jiji kwanini aitwe Meya? Au taratibu zikoje?
  7. Mandela Jr.

    JamiiForums Tanzania Picha: ACT- Wazalendo yapata Meya Kigoma mjini

    mcubic Halmashauri ya jiji la Kigoma?
  8. Mandela Jr.

    JamiiForums Tanzania Ya Chanika na tahadhali iliyowahi kutolewa na Lema

    Punguza dharau !
  9. Mandela Jr.

    JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania tukiwa tunashangilia kusimamishwa maofisa TRA, Kenya wanafanya hivi...

    Huwa unakuwa huko mara kwa mara, #Magufuli ana kama mwezi 1 tangu aapishwe,. Unataka kutuaminisha kuwa mara hii wakenya wameshamfahamu #Magufuli kwa viwango vya kuataka awe 'mtawala' wao? Kenya ipi hiyoo?!
  10. Mandela Jr.

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli bado sana watanzania ni vipofu wa fikra

    Kweli kabisa mkuu, 'Kikwete aonekane msafi kwasababu ya Benjamin, Magufuli imara sababu ya udhaifu wa Kikwete na X ataonekana msafi sababu ya uchafu wa Magufuli'?! Taifa gan hili??? Bdo hatujawa na viongozi
  11. Mandela Jr.

    JamiiForums Tanzania Michango alianza kuifuta Tundu Lissu, Dr. Magufuli ameiga tu

    Sheria ya michango inasema nini?
  12. Mandela Jr.

    JamiiForums Tanzania Kwa mwendo huu, sherehe za Mapinduzi Zanzibar zitakuwepo?

    Mungu??!
  13. Mandela Jr.

    JamiiForums Tanzania David Kafulila afungua kesi Mahakama kuu, kutetewa na Tundu Lissu

    Kesi yake mwenyewe, alikuwa mshitakiwa na wakili na alishinda !
  14. Mandela Jr.

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli umetoa pole kwa Ufaransa, vipi kwa kifo cha Mawazo?

    Hakuna cha kuguswa hapo, 'Business as usuall'.
Back
Top Bottom