Recent content by mandazy

  1. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo ulanga morogoro nije dodoma wilaya yeyote idara elimu msingi
  2. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kwaniaba yupo dodoma jiji abadilishane na kutoka dar wilaya yeyote
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kufanyia kazi na kupeleka hesabu kwa boss

    Mimi pia nipo dodoma kwa mdau mwenye gari anicheki tufanye kazi 0752246075
  4. M

    JamiiForums Tanzania Account Manager at Bolt

    Mm dereva natafuta gari nipige bolt nipo dom 0752246075
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Hamna mtu ana gari ndogo asee nifanye bolt au huber asee
  6. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wilaya gani singida mkuu
  7. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Singida wilaya gani?
  8. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo magu-mwanza nije singida manspaa,Dodoma jiji,kondoa mji,chemba dc idara elimu msingi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunafanya Biashara ya kuuza na kununua magari, mapya na yaliyotumika Tanzania

    Nahitaji ist au vits au raumu ofa yangu m 6
  10. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nafaka zao la choroko

    Wadau habari ya majukumu nimeamua kuanza kufanya biashara ya nafaka zao la choroko, nimeingia bush huku nakusanya mzigo kwa anayejua soko la uhakika lilipo la zao hili tupeane taarifa na soko linavyoenda mjini huko.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    Mm natan mia tatu ya mihogo wadau anayehitaji anichek pm tufanye biashara
  12. M

    JamiiForums Tanzania Project funding sources

    Nina tan mia tatu za muhogo anayehitaji anichek pm tufanye biashara
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa muhogo wilayani Mkuranga kunufaika

    Natani mia tatu mwenye mawasiliano kiwandani anisaidie nipo Kasulu, Kigoma
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Habari wana janvi nilikuwa naomba kupata ufafanuzi juzi ya kampuni ya Qnet jinsi inavofanya biashara na nikweli kuna mafanikio ukijiunga nayo nimekuwa nikipata ushawishi tika kwa marafuki zangu mbalimbali kujiunga na kampuni hii.
Back
Top Bottom