Biashara ya nafaka zao la choroko

mandazy

Member
Feb 28, 2015
46
16
Wadau habari ya majukumu nimeamua kuanza kufanya biashara ya nafaka zao la choroko, nimeingia bush huku nakusanya mzigo kwa anayejua soko la uhakika lilipo la zao hili tupeane taarifa na soko linavyoenda mjini huko.
 
Choroko si nafaka, ni pulses/jamii ya mikunde.

Kila la kheri katika biashara yako.
 
Wadau habari ya majukumu nimeamua kuanza kufanya biashara ya nafaka zao la choroko, nimeingia bush huku nakusanya mzigo kwa anayejua soko la uhakika lilipo la zao hili tupeane taarifa na soko linavyoenda mjini huko.
Unaenda kununua za nini kama hujui soko la uhakika lilipo.?

Sasa hawa wajuba wasipokupa taarifa unazotaka itakuaje 🤔🤔.
 
Back
Top Bottom