Recent content by Manasseh Manasseh

  1. Manasseh Manasseh

    JamiiForums Tanzania Bora nirudi kwa wazazi wangu wanifunze upya

    Sad story. Ila bonge la message.
  2. Manasseh Manasseh

    JamiiForums Tanzania Je, inawezakana kumuabudu Mungu pasipo kuwa na mahusiano(affiliation) yoyote na madhehebu ya kidini?

    Dini ni matendo yako mkuu. Hata kama ni muudhuriaji mzuri wa ibada lakini matendo ni ya ajabu ajabu haileti maana yeyote hasa kipindi hiki ambacho madhehebu mengi yapo kwa ajili ya kupiga hela na show off. Fanya kazi kwa bidii Saidia wasiojiweza, fundisha wasiokuwa na elimu, lisha wasiokuwa na...
  3. Manasseh Manasseh

    JamiiForums Tanzania New Force/ Golden Deer acheni uhuni kwa mizigo ya abiria

    Acheni kutetea huduma za ajabu kwa visingizio vya kitoto sana. Wanasema sio mara ya kwanza wanafanya hivi. Acha aseme ili wanaoweza kusafirisha kwa uaminifu wapewe hayo majukumu. Ndio maana hiyo sector sio monopoly.
  4. Manasseh Manasseh

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aduwaza wachumi nchini

    Your English is a mess too..
  5. Manasseh Manasseh

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aduwaza wachumi nchini

    Halafu unajiita opportunity cost.. and you know nothing about economics..
  6. Manasseh Manasseh

    JamiiForums Tanzania "Hebu Turudi Shule Kidogo Tu"

    asee...
  7. Manasseh Manasseh

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mdudu kunguni (bedbugs) na jinsi ya kumuangamiza

    Toa kila kitu ocha chumba na maji yaliochemka kabisa
  8. Manasseh Manasseh

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watu wengi wenye kipato cha chini hujadili sana maisha ya matajiri

    Hiki kitu huwa naki observe sana katika mazingira ya kawaid ya kila siku.. Mara nyingi huwa wanawaongelea vibaya badala ya wao kupambana na maisha yao na kujua jinsi gani wanaweza kutengeneza maisha yao kama hao.. Sijui kwenye mazngira yenu.. Hivi mnakutana na hiki kitu..? Kwa nini wanakuwa...
  9. Manasseh Manasseh

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana kwa haya mambo yanayofanywa na Watanzania

    Nmekuelwa sana... Fact
  10. Manasseh Manasseh

    JamiiForums Tanzania Wanaume, tuwapunguzie watoto wakike maumivu.Nao wana moyo

    Na mboga z majan
  11. Manasseh Manasseh

    JamiiForums Tanzania ndugu zangu upande wa pili, haya mnaambiwa au mnajiongeza!?

    Kuoa n jambo la muda tu.. Kama ukiwa tiari kupokea ndoa na changamoto zake inakufaa uoe .. Ila ukijichanganya kwa kukurupukia ndoa umetafuta tatizo
  12. Manasseh Manasseh

    JamiiForums Tanzania Afunga Ndoa na Mbwa.

    As long as mbwa ni wa kiume... Fresh tu maamuz yake
  13. Manasseh Manasseh

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

    Tunacho cha kujifunza .. Kutopenda kabisa vitu vya bure... R i p..
Back
Top Bottom