Hivi kwanini watu wengi wenye kipato cha chini hujadili sana maisha ya matajiri

Jun 7, 2019
41
21
Hiki kitu huwa naki observe sana katika mazingira ya kawaid ya kila siku.. Mara nyingi huwa wanawaongelea vibaya badala ya wao kupambana na maisha yao na kujua jinsi gani wanaweza kutengeneza maisha yao kama hao..

Sijui kwenye mazngira yenu.. Hivi mnakutana na hiki kitu..? Kwa nini wanakuwa hivyo...
 
Watu wasio maarufu ndio huongoza kwa kuwa follow watu maarufu huko insta na twitter

Iko ivo mkuu usiumize kichwa
 
Huku kwetu muda wote matajiri wanaupoteza kuwajadili maskini. Tangu msubuhi mpaka jioni hawafanyi kazi. Kazi kujadili maskini tu. Wanaomba uwape simu yako na wewe wakujadili
 
Back
Top Bottom