"Hebu Turudi Shule Kidogo Tu"

Nyamsusa JB

JF-Expert Member
Jul 9, 2015
568
1,562
Habarini GTs

*HEBU TURUDI SHULE KIDOGO!*

Biology inasema, baada ya tendo la ndoa mbegu za kiume zinazoingia kwa mwanamke ni takribani mbegu milioni mia tatu(300,000,000) na zote huanza kuogelea kuelekea kwenye ovum (yai).

Kati ya hizo mbegu milioni 300 zinazofanikiwa kufika sehemu husika kwenye yai ni mbegu 500 tu, nyingine huchoka mapema na kufa njiani. Vilevile katika hizo mbegu 500 zilizofanikiwa kufika kwenye yai ni mbegu moja tu ndiyo hushinda na kuingia ndani kutengeneza kiumbe!

*Mbegu hiyo ni wewe unayesoma ujumbe huu...* Biology inatuambia kuwa ulikimbia mbio na kuwashinda wenzio milioni 300 na ndiyo maana leo hii upo duniani... Usingekuwa mshindi katika mbio zile leo usingekuwepo duniani... .

Je, umeshawahi kufikiri juu ya hili!?* Ulikimbia bila macho, mikono wala miguu na ukashinda! Ulikimbia bila elimu yako, ujuzi wala vyeti na ukashinda! Ulikimbia tena bila msaada wa mwingine yeyote na ukashinda... .Ni kitu gani leo cha kukufanya uwaze kushindwa katika maisha kiasi cha kukata tamaa!?.

Sasa unayo macho, mikono na miguu, Una elimu, ujuzi na maarifa zaidi unaongozwa na maneno ya Mwenyezi Mungu... kwanin uwaze kushindwa!? .

Tafakari, weka malengo, muombe Mungu kisha pambana!. Ulizaliwa ukiwa mshindi usiishi maisha ya kushindwa!! .
wewe ni shujaa💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾.
 
naongezea tu HAPO HAPO KWENYE KURUDI SHULE...
"CHROMOSOMES 23" KWA BINADAMU HUWA SIO KIUMBE KAMILI...
Binadamu kwa kawaida huwa na "chromosomes 46".
...
Chromosomes 23 znatoka kwa Mama, 23 zngne znatoka kwa Baba ili ziwe 46 na ziunde kiumbe kamili [zygote]., ( 23+23=46 )...
BIOLOGY INATUAMBIA "SPERM" (mbegu) SIO KIUMBE KAMILI, NA PIA VILE VILE "FEMALE GAMETE [EGG]" (yai) NALO SIO KIUMBE KAMILI.
.
KIUMBE KAMILI HUTOKEA PALE "SPERM" NA "EGG" ZINAPOUNGANA (fertilisation) na kuchanganykana
..
HIVO BASI, MATERIALS ZNAZOENDA KUUNDA MTU NDO ZILIKIMBIA HIZO MBIO NA WALA SIO MTU, SABABU MTU KWA KAWAIDA HUUNDWA NA "CHROMOSOMEs 46", NA SIO CHROMOSOMEs 23.
#iStandToBeCorrected
Habarini GTs
*HEBU TURUDI SHULE KIDOGO!*
Biology inasema, baada ya tendo la ndoa mbegu za kiume zinazoingia kwa mwanamke ni takribani mbegu milioni mia tatu(300,000,000) na zote huanza kuogelea kuelekea kwenye ovum (yai).
Kati ya hizo mbegu milioni 300 zinazofanikiwa kufika sehemu husika kwenye yai ni mbegu 500 tu, nyingine huchoka mapema na kufa njiani. Vilevile katika hizo mbegu 500 zilizofanikiwa kufika kwenye yai ni mbegu moja tu ndiyo hushinda na kuingia ndani kutengeneza kiumbe!
*Mbegu hiyo ni wewe unayesoma ujumbe huu...* Biology inatuambia kuwa ulikimbia mbio na kuwashinda wenzio milioni 300 na ndiyo maana leo hii upo duniani... Usingekuwa mshindi katika mbio zile leo usingekuwepo duniani... .
Je, umeshawahi kufikiri juu ya hili!?* Ulikimbia bila macho, mikono wala miguu na ukashinda! Ulikimbia bila elimu yako, ujuzi wala vyeti na ukashinda! Ulikimbia tena bila msaada wa mwingine yeyote na ukashinda... .Ni kitu gani leo cha kukufanya uwaze kushindwa katika maisha kiasi cha kukata tamaa!?.
Sasa unayo macho, mikono na miguu, Una elimu, ujuzi na maarifa zaidi unaongozwa na maneno ya Mwenyezi Mungu... kwanin uwaze kushindwa!? .
Tafakari, weka malengo, muombe Mungu kisha pambana!. Ulizaliwa ukiwa mshindi usiishi maisha ya kushindwa!! .
wewe ni shujaa💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾.
 
Ngoja tuendelee kutiana moyo kwa kutumia nadharia kama hizi zinazopatikana kwenye vitabu. Ila kujilinganisha na kiumbe kisicho kamili ni kujifariji tu.
 
Hapa ndiyo nimewarudisha shuleni, hayo mengine ya mbegu ni mapito
WhatsApp Image 2017-09-01 at 20.29.33.jpeg

Asante kwa kututia moyo sperm mwenzetu maana kupeana moyo nyankati hizi za Magu ni muhimu sana la sivyo tutaanza kudondoka wenyewe njiani huko
 
Ngoja tuendelee kutiana moyo kwa kutumia nadharia kama hizi zinazopatikana kwenye vitabu. Ila kujilinganisha na kiumbe kisicho kamili ni kujifariji tu.
Si ndo hapo hata mie nashangaa, sabb "sperm" huwa sio kiumbe kamili.
Kiumbe kamil (binadamu) kwa kawaida ni "Chromosomes 46" na "Sperm" huwa ina "Chromosomes 23".
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom