Recent content by manase

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kanitafutia kazi sasa nimekuwa mtumwa wa ngono

    naona wanaume mmenywea, maana kumbe huko ofisini tunaibiwa. ngoja ngoja nimwambie mke wangu abaki home tu sasa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Iringa halisi na watu wake

    kawaida ukienda tanga utakutana na "kw" kwamsisi, ........
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze kilimo cha nyanya

    TUKISHUSHA HESABU MAMBO YATAKUWA HIVI 20 10,000 200,000 60 10,000 600,000 120 10,000 1,200,000 180 10,000 1,800,000 240 10,000 2,400,000 180...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze kilimo cha nyanya

    TUNASHUKURU SANA KWA ELIMU KUBWA, NAOMBA KUFANHAMU KAMA UNATUMIA PIA SAMADI KATIKA KUPANDA HIYO MICHE YA NYANYA.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ruge Mutahaba; Kuna viongozi mabeki hawa kazi yao ni kuzuia tu sababu wanafuata sheria zilizopo

    Ruge mfitini sana huyu. anajiita mtoto wa mjini. amesahau kuwa kila jambo na zama zake. fuata sheria sisi tunafungiwa biashara zetu mapema tu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ruge Mutahaba; Kuna viongozi mabeki hawa kazi yao ni kuzuia tu sababu wanafuata sheria zilizopo

    RUGE nae mchumia tumbo lake tu. wacha apambane na hali yake. anataka kuonewa huruma. mimi sioneagi huruma mtu, kwani anakusaidia nini?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Serikali walikosea kwenye swala la uuzaji wa mahindi

    kuna watu humu wanajaribu kutoa hisia zao tu, hivi unaweza kutoa ushahidi kwa kauli hii. ni nani kasema. utapimwa mkojo kama unaleta uchonganishi hapa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Milango ya mninga inauzwa Tshs 250,000/

  9. M

    JamiiForums Tanzania Milango ya mninga inauzwa Tshs 250,000/

    bei inaweza kupoa zaidi lakini ukihitaji zaidi ya milango mitano
  10. M

    JamiiForums Tanzania Milango ya mninga inauzwa Tshs 250,000/

    Mninga huu lazima uwe na kibali kutoka maliasili
  11. M

    JamiiForums Tanzania Milango ya mninga inauzwa Tshs 250,000/

    Burundi inawezekana, lakini ni rahisi kusafilisha milango zaidi ya kumi. mlango mmoja itakuwa hasara mkuu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Milango ya mninga inauzwa Tshs 250,000/

    Kelvin Furniture ni watengenezaji na wauzaji wa Samani za maofisini na Majumbani milango ya mninga inauzwa Tshs 250,000/= tupo Dar es salaam - Tabata kimanga - opposite na shule ya msingi kimanga. piga 0754221197. kama unachukua zaidi ya milango mitano bei inaweza kushuka zaidi.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo arejea rasmi CCM

    kiona mbali
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mjue Salum Sumry, kutoka kuachana na biashara ya mabasi hadi kuamua kujikita kwenye kilimo biashara

    pamoja na kuwepo kwa jitihada za wakulima wakubwa na wadogo naona bado kuna changamoto. kumekuwepo siasa kwenye biashara, zuio la serikali kutosafilisha mahindi nje ya nchi inawanyima uhuru wakulima wa kutafuta soko nzuri la mazao yao, hii itaweza kuturudisha nyuma kwa kuwakatisha tamaa wakulima...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    unaweza kuniambia inapatikana duka gani? huko kwenu ni wapi mkuu. kama uko serious naomba unielekeze vizuri
Back
Top Bottom