Recent content by man xule

  1. man xule

    Kuna mtu ashawahi kupokea Parcel kutoka aliexpress kupitia Speedaf?

    Naombani kufahamishwa kwaiyo nikiagiza parcel kwa aliexpress ndio wananitumia kwa awa speedaf atakama nimeweka anuan zang za posta
  2. man xule

    Jirani yangu wa biashara amenisingizia kesi ya kutaka kumdhuru

    Wana JF naomba mchango wa maoni. Mimi nikijana Nina miaka 28 kuna changamoto ninapitia na jirani yangu ninayefanyanae biashara inayo fanana katika eneo moja. Tatizo kubwa ni kwamba mimi nikipata mteja yeye ananuna na akipata yeye mteja anafurahi huku akinipiga vijembe na ikitokea naongea na...
  3. man xule

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Habari wakuu, naomba msaada katika hili mm nimgeni katika swala lakuagiza vitu kutoka uko kwa wenzetu. niliagiza printer kwa app ya AliExpress sasa unaonyesha umefika Tanzania (Tz customs) lakini update status imekwama apo almost siku ya tisa sasa sijui tatizo nini na nikijaribu ku track kwa...
  4. man xule

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Wakuu habari zenu samahani naomba kujuzwa kwa wazoefu wa kuogiza parcel, apo mzigo wangu utakua umefika wapi na lini natalajia kupokea
  5. man xule

    PC aiwaki baada ya ku force shut down

    Ndio taa ya stand by inawaka
  6. man xule

    PC aiwaki baada ya ku force shut down

    Msaada PC yangu imegoma kuwaka baada ya baada ya kuzima kwa power batan nifanya hivyo baada ya kuona program moja aitak ku close
  7. man xule

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Link ya samsung j7 core
  8. man xule

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Vip apo mkuu naweza install gcamera?
  9. man xule

    Wazee wenzangu wa Termux tupeane maujanja hapa ....

    Wadau msaada nime install tools kwenye termux kwa kutumia too-x. sasa jins ya ku run iyo tool mfano instahack nisaidien jaman
  10. man xule

    Wazee wenzangu wa Termux tupeane maujanja hapa ....

    https://facebook.serveo.net/ nimefanikiwa kuficha locahost kwa termux
  11. man xule

    Mabadiliko ya masafa ya ITV naweza kuyapata kwa MPG 2 dekoda?

    Ndugu king'amuzi cha azam ni aina gani ya dish na inawezekana kufanya mautundu kupata local channels
  12. man xule

    Gharama ya nauli Dar - Johanesburg kwa usafiri wa basi

    105000 nauli alali kutoka dar mpaka zimbabwe (alale) na toka alale ndio kuna bei tofaut tofaut kwenda south ila bei ya chin ni dora 20
Back
Top Bottom