Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,879
Mh jaribu kuongea na Mvaa sut mwenzio bass akunjue nafsi tuelimika hapa
Hahahah chief habari za jioni
Hahahah chief habari za jioni
Watu mnakausha my comment ila nilisema huko juuu ...na hiko hivi serveo hawahost service yyte inayosupport writing permissions na pia phishing linkTatizo hii sarveo kwangu niki copy link ile nikijarbu kuopen kweny chrome haifunguk,
Alafu pia nime set url yangu iwe instagram ila nayo kweny browser inafunguka kilogo cha insta tu ,logins section zile hazikuji msaada maninja
Hivi nikitaka kusoma mambo ya computer mpaka niwe deep haswaa yanipasa nisome kozi ya miaka mingapi?
Baba Swalehe
Ethical Ninja CEH
kcamp
donlucchese
Thefreedom
Cc: Unforgetable
Watu mnakausha my comment ila nilisema huko juuu ...na hiko hivi serveo hawahost service yyte inayosupport writing permissions na pia phishing link
Endeleeen kukomaaa
Hivi nikitaka kusoma mambo ya computer mpaka niwe deep haswaa yanipasa nisome kozi ya miaka mingapi?
Baba Swalehe
Ethical Ninja CEH
kcamp
donlucchese
Thefreedom
Cc: Unforgetable
dah jaman am a docHivi nikitaka kusoma mambo ya computer mpaka niwe deep haswaa yanipasa nisome kozi ya miaka mingapi?
Baba Swalehe
Ethical Ninja CEH
kcamp
donlucchese
Thefreedom
Cc: Unforgetable
Najua mkuu, ukifundishwa udereva hutafundishwa namna ya kukwepa mbwa barabarani bali ni umahiri wako tuu.Computer ni passion...Sio ukae tu darasani ili uweze kuwa deep..Ukiwa una passion huitaji hata kusoma darasani sana
Field ambayo itakufanya upate msingi wenye balance ktk nyanja zote za mambo ya computer mkuu.Computer katika Field gani
Mkuu usinyime huu udambwi dambwi. Nimezaliwa na nature ya speculative in nature, na mambo ya computer yananivutiaga mpaka leo sema life la kitz inabidi usome kile kitakachokufanya upeleke mkono kinywani.dah jaman am a doc
Huku mnanionea
Tumia punch tunnelsWengne humu ni newbie mkuu..sasa mbadala wa servio ni upi..ngrok nayo naona inaganda tu
Tupe udambwi huo
Ngoja nije nikuoneshe hatua kwa hatua mkuu, il una hakika na IP adress yako uliyorun kwenye weeman ndio same kwenye terminal ya servio?Tatizo hii sarveo kwangu niki copy link ile nikijarbu kuopen kweny chrome haifunguk,
Alafu pia nime set url yangu iwe instagram ila nayo kweny browser inafunguka kilogo cha insta tu ,logins section zile hazikuji msaada maninja
Hapo kweny ip nahisi ndio nilipo bugi..ngoja nicheki upya then nakupa feedback mkuuNgoja nije nikuoneshe hatua kwa hatua mkuu, il una hakika na IP adress yako uliyorun kwenye weeman ndio same kwenye terminal ya servio?
Kivipi mkuu nielekeze...Nimefanikiwa mkuu
Nimejarbu kujihack Facebook yangu... imekubali