Recent content by man well

  1. M

    SoC02 Tawala Fikra zako Ili uweze kuboresha maisha yako

    bandiko zako ni zakibabe hongera kwa kujitambua mapema na kuiona fursa yakuzindua wengine pia ili jamii iamasike kwa ukubwa kuleta maendeleo respect mkuu
  2. M

    Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

    Cjamwita malikia na pia hata nandy mwenyewe umalikia atauckia kwenye bomba c kiwepesi ivyo apewe cheo hiko
  3. M

    Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

    Acha wivu ruby wakati wake ushapita hata kama humpendi kubali uwepo wake nw japo waumia
  4. M

    Safari yangu ya jana imenisaidia kuitafakari imani yangu kwa dakika kadhaa

    Hao sio wakwanza kuabudia jua toka enzi ya babu yetu mzee ibrahimu watu walishayafanya hayo
  5. M

    Ukitaka kujua kuwa mpenzi wako ana sifa ya kuitwa mke/mume,fanya yafuatayo

    unaweza ukaoa na bado asijitosheleze ktk cfa hucka
  6. M

    Kadhi Mkuu: Mwezi haujaonekana, Waislamu kote nchini kuanza kufunga kesho Mei 07, 2019

    Bakwata ni taasisi mimi nafuata maandiko ktk qur an na hadithi yabakwata nakuachia mwenyewe
  7. M

    Kadhi Mkuu: Mwezi haujaonekana, Waislamu kote nchini kuanza kufunga kesho Mei 07, 2019

    Hapa tutakua pamoja ila nilikataa kusikia kuna mwezi wakimataifa ambao ndugu zetu na jirani zetu washaanza kufunga leo kwakua upande wao umethibiti
  8. M

    Kadhi Mkuu: Mwezi haujaonekana, Waislamu kote nchini kuanza kufunga kesho Mei 07, 2019

    Usiwalazimishe watu wafate kimataifa wakat hata qur an haijasema kutakua na mwezi wa kimataifa au kitaifa muhimu wakiushuhudia mwezi miongoni mwenu na wafunge na pia kukazia fungeni muonapo na funguen muonapo pia hakuna hapo mwezi wa kitaifa wala wakimataifa
  9. M

    Kadhi Mkuu: Mwezi haujaonekana, Waislamu kote nchini kuanza kufunga kesho Mei 07, 2019

    Hutakiwi kumtukana mtu au kumwita jina lenye kuudhi kikubwa fata maandiko yanavyotaka huna sababu yakujifanya mjuzi ili hali hujui hata kama utakua mwenye kufaulu au la
  10. M

    Uume kusinyaa

    Nakupataje mzizi mkavu
  11. M

    Kila mtu kumiliki laini 1 mtandao 1

    Cm zetu tumenunua kwa gharama z2 iweje tuwaachie wao?
  12. M

    Kila mtu kumiliki laini 1 mtandao 1

    Tusiokua na vitambulusho vya nida inakuaje?
  13. M

    Kuelekea Mechi ya Simba SC dhidi ya AS Vita Club, hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika 'Hatoki Mtu'

    Vitu vinaenda kwa rekodi kama tulifika nusu wkt wengine hatujazaliwa naamini ni mda sasa wakizazi chetu kupata burudani waliofaidi wazee wetu.DoorDie...simbanguvu1...yeswecan...homeishome Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    FAHAMU MAMBO MUHIMU YA KUJADILIANA NA MWENZA WAKO KABLA YA KUOANA

    Japo mnachelewa kushauriana mambo ya dini bado jukumu labaki kwenu 7bu ndio mtakaoenda ishi wenyewe wengine ni ziada muhimu kama mmeelewana ktk ilo na mkakubaliana jins mtakavyoishi basi haina tatizo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom