Wang Shu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 2,563
- 3,708
Maumbile ya siri ya wanaume yamegawanyika sehemu tatu
1. Uume mkubwa [TEMBO]
2. Uume wa kati [FARASI]
3. Uume mdogo [KONDOO]
Kila mwanamke ana mapendeleo yake na hisia zake kuhusu ukubwa wa uume ingawa inategemea na uwezo wa kufanya kazi, wengi hudhani uume mkubwa au mnene ndiyo madhubuti kuliko mdogo, wengine wao hudhani kuwa nyembamba ndefu ndiyo madhubuti zaidi, lakini utendaji kazi ni suala linalojitegemea.
MAUMBILE YA WANAWAKE
1. UKE MNENE WENYE KINA KIFUPI[Huyu yeye atapenda uume mwembamba na mfupi]
2.UKE ULIOLALA MWEMBAMBA WENYE KINA KIREFU [Huyu yeye atapenda uume mnene na mrefu]
3. UKE MNENE [Huyu yeye atapenda uume mkuubwa ndio anahisi utamfikisha]
Katika aina hizo 3 ndani yake zimegawanyika katika maumbile tofauti tofauti, yaani nyingine ipo kwa juu kidogo, nyingine kwa chini kidogo, nyingine katikati, ipo iliotuna, ipo iliobanda n.k
Tuseme tuu ukweli mara nyingi inapokuwa mume na mke ni tofauti wengi hujikuta wanatafuta njia mbadala
IKIWA NIMEPATA TOFAUTI JE NIFANYAJE?
Ikiwa umepata mwenzako tofauti na wewe, tafadhali usimuache mkeo au usimkimbie mumeo na kwenda kutafuta mchepuko kwani kwenye dini ni kharamu na pia kumbuka magonjwa ya maambukizi ni mengi unachotakiwa kufanya ni kujifunza elimu nyingine ya kuyashughulikia maumbile tofauti na ulivyoyatarajia nanyi mtafaidi ndoa yenu na kudumu mpaka kifo kitakapowatenganisha.