Recent content by man ov action

  1. man ov action

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa kozi hii ya Bachelor of Arts in Geography and Envt studies UDOM

    haahhahaahahaha tena atatembea kwa miguu kutoka humanity mpaka ng'ong'ona
  2. man ov action

    JamiiForums Tanzania Kurudisha 25% ya mkopo HESLB

    duuuh atar
  3. man ov action

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo (heslb) inanitesa!!!!!!!!!

    nashukuru sana mkuu #eliamyaniko ntajitahd kutumia akili niliyonayo kupigana na hali hi mpaka bum litakapokuja!!
  4. man ov action

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo (heslb) inanitesa!!!!!!!!!

    daah mim sio msumbuf kaka, bt kwasasa kama naitaj tu ushaur wako!!
  5. man ov action

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo (heslb) inanitesa!!!!!!!!!

    ukwel nmevumilia sana mkuu, wengne wanakaribia kudai bum la pili mimi hata jina lang halibandikwi, inaniuma sana hal yang n mbaya sana yan!!
  6. man ov action

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo (heslb) inanitesa!!!!!!!!!

    Habari ndugu zangu wana JF! Naitwa paul nipo udom 1st yr, hakika maisha yangu ya hapa chuon yamekuwa magum na hvyo kpelekea kkata tamaa ya kuendelea kusoma, ukwel bodi yetu ya mikopo imekuwa chanzo cha matatizo haya yote,!! ni miongon mwa wanafunzi walioomba mkopo lakini kwa bahati mbaya...
  7. man ov action

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tatizo la ku-appeal mkopo heslb.

    ni pm no ako nkuchek, npo udom nna tatzo the same like urs!
  8. man ov action

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi vyuo vikuu kutumbua jipu bodi ya mikopo

    aah mkuu na mimi npo udom coed first year ni muhanga wa tatizo hili, npo block T ni PM tupeane maujanja ya kupigana na hi hali!
  9. man ov action

    JamiiForums Tanzania University of Dodoma naomba mpitie hapa

    khaaaa yan inaonexha ni vp we ulivo mngese, kudadek
  10. man ov action

    JamiiForums Tanzania Hon JPM KARIBU UDOM MAANA HADI SAIV WATU WENGI WA SPECIAL DIPLOMA HAWAJAPATA BOOM LAO

    kama hauna la maana kuchangia n bora uache, na sio kuandika uchafu wako um ndan!! konyo wew
  11. man ov action

    JamiiForums Tanzania Msaada: Shule nzuri ya sekondari Morogoro, Iringa au Mbeya

    mpeleke st mar's ulete, ipo iringaaa!! ada yake cjajua kwa xx coz inabadilika xana, wakat tunaxoma cc mwaka 2009 ilikuwa laki 9
  12. man ov action

    JamiiForums Tanzania kwa wasiopata mkopo muwe na subira wakati wahusika wanashughulikia.

    je kwa sisi tuliopewa lot ya sita hatujui majna yetu kama yamefika au laa, na cjui utaratibu ukoje juu ya hili
  13. man ov action

    JamiiForums Tanzania Wasiopata mikopo tafadhali angalieni akaunti zenu, wameshawaingizia

    ucjal ndugu yangu, mungu mwema atafanya njia pale pasipo na njia, ukwel hata mimi walivotoa lot ya nne wakasema ndo ya mwisho, niliumia sana ndugu yangu, lkn nikajipa moyo ya kuzidi kuomba mungu kika cku na muda wote!! jitahd ufatilie mungu atakunyoshea mkono wake na kufungua baraka, huwez amin...
  14. man ov action

    JamiiForums Tanzania Loan board vipi tunawasubiri

    khaaa yan awa jamaa atar sana,! wamenfanya niugue vidonda vya tumbo aisee
Back
Top Bottom