Recent content by Man of Wisdom

  1. M

    JamiiForums Tanzania Umefikia wapi kijana mwenzangu katika suala la ajira tangu umalize shule au chuo?

    kila kitu ni mipango tu pa1 na malengo bila kusahau kumshirikisha mungu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Akiniona anajificha, atakuwa ananipenda au hisia zangu tu?

    duuh mi nahisi labda anakupenda au jaribu kufatilia umri wake pengine ni utoto
  3. M

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

    Tuombe mungu mafuriko yapite mbali
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tips-jinsi ya kusafisha uke

    Yaah wakato mwingine ni maumbile tuuuu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mkasa ulionikuta baada ya kumtongoza msichana wa JF

    Duuuuh noma sana
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kununua kiwanja bila kutapeliwa

    nijuavyo mimi ardhi ina expire umri wa ardhi umegawanyika hivi 33 66 and 99 years miaka 33 ni nyumba ya kawaida ya kuishi 66 na 99 ni nyumba za ibada na viwanda so kwanza tafuta lowyer akupe taratibu kabla hujafanya manunuzi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Anafaa kuwa Rais?

    absolutely
  8. M

    JamiiForums Tanzania Anafaa kuwa Rais?

    duuuh asee hii ni too much hakuna kitu km hicho brooo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kumdharau mpenzi wako kunakatisha tamaa

    kubwa kabisa hali hii inatokea endapo tu hakuna mapenz ya kwel baina ya mmoja kati yao
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo nilivosalitiwa na mpenzi wangu, usimwamini mtu

    mmmh aseee pole
Back
Top Bottom