Recent content by man m

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi nina masters nataka kuoa Darasa la saba

    unaweza kuwa na master na bado wa la saba akakuzid akili.elimu na akili ni vitu viwili tofauti.
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyeje niache Punyeto?

    suluhisho ni kuoa tu bro vinginevyo hali itakuwa mbaya
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada,ku-update laini ya tiGO ya 32k kuwa 64k au 128k

    lkn unafahamu maana sahihi ya 32k??
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2015 na ajira serikalini

    hata kabla wahisani hawajagomea kutoa hisani zao bado serikali kupitia mama selina kombani alishasema kuwa ajira kwa walimu wa sanaa zimetosha.sasa hili suala la wahisan kugomea kutoa ufadhili ndo kabisaa litasababisha kuwa na ajira chache na ni kwa walimu wa sayans.linapokuja suala la uhaba wa...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga vs jku updates

    daaah yanga tuna hali ngumu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kulisha mifugo, niko Kigamboni

    Mm nachukia kuajiriwa na mwanaume mwezangu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mliosema post za ualimu hazitoki tena mbona siwasikii?

    udom saiv kuna program ya koz za ualimu diploma na cheti pia wapo sambamba na degree hii ni kutokana na raslimali za majengo mengi yaliyopo chuon hapo kuwa nyingi na wanafunz kidogo hivo wakaona waanzishe koz hizo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Majibu ya maswali ya usaili

    swali namba nne:inabidi utaje ur positive weakness. ni udhaifu ambao unafaida kwa taasisi
Back
Top Bottom