Kibishi
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 1,139
- 1,040
Pokeeni salamu wana jamvi.Mimi nahisi wakati mwingine speed ya internet inatokana na ile namba iliyo kwenye laini,kibongo bongo nyingi ni 32k ambayo speed yake ni ya kawaida.Wenzetu mbele mbele laini nyingine zimeandikwa 64k au 128k wakati mwingine mpaka 256k.Wengi tunalalamika kuwa mtandao uko slow bila ya kujua kuwa sababu nyingine ni 32k.Sasa basi,tuelimishane jinsi ya ku-update laini ya tiGO kutoka 32k hadi 64k au 128k.