Utasheherekea part na wana jf kweli au na wazee wa kijani na suti nyeusi...... Haaaaaaa[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Dah... sintakaaaa na kusahau nlipo kula hela ya ada ya mtihani wa kidato cha 4 na mock zote kwa pamoja hafu mbaya zaidi mpaka siku ambayo ni deadline sijapata hata senti moja..... ya kulipa duh ila mungu mkubwa still bado masaa wafunge ofisi siki ya mwisho jamaaa yangu akanikopa tena kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.