Man Lee
Member
- Nov 29, 2013
- 14
- 4
Dah... sintakaaaa na kusahau nlipo kula hela ya ada ya mtihani wa kidato cha 4 na mock zote kwa pamoja hafu mbaya zaidi mpaka siku ambayo ni deadline sijapata hata senti moja..... ya kulipa duh ila mungu mkubwa still bado masaa wafunge ofisi siki ya mwisho jamaaa yangu akanikopa tena kwa riba... ndio nikaweza kulipa.....
wazeee kula ada sio kama HIYO SITOKUJA KUSAHAU
wazeee kula ada sio kama HIYO SITOKUJA KUSAHAU