Recent content by Man kavelli

  1. Man kavelli

    JamiiForums Tanzania Biblia: Kitabu cha Mkanganyiko au Neno la Mungu?

    Nimesoma HOJA zako zote juu ya MUNGU wakristo wanamuabudu. Lakini nazipinga HOJA zako kwasababu tu, KITABU BIBLIA kimeandikwa na watu wenye UPEO mkubwa mno WA AKILI. Uwezo mdogo na usomaji wetu mbovu unapelekea kuwepo makundi mbali mbali ya waamini katika mafundisho yake. Wala MUNGU hakutaka...
  2. Man kavelli

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapanga kuuza sehemu ya Hazina yake ya Dhahabu kusaidia kufadhili miradi ya miundombinu

    Akili ndogo ipi wewe bunuasi Yani uulize swali mtoto wa lasaba anakujibu uje useme akili ndogo.
  3. Man kavelli

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapanga kuuza sehemu ya Hazina yake ya Dhahabu kusaidia kufadhili miradi ya miundombinu

    Hivi UNAELEWA unachokifananisha hapo?
  4. Man kavelli

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapanga kuuza sehemu ya Hazina yake ya Dhahabu kusaidia kufadhili miradi ya miundombinu

    Nasikitika kuona Kuna watu wanna react kwenye comment yako na emoji za vicheko,😢
  5. Man kavelli

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapanga kuuza sehemu ya Hazina yake ya Dhahabu kusaidia kufadhili miradi ya miundombinu

    nasikitika kuona Kuna watu wanna react na emoji za vicheko kwenye comment kama hii😢
  6. Man kavelli

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapanga kuuza sehemu ya Hazina yake ya Dhahabu kusaidia kufadhili miradi ya miundombinu

    Nchi maskini au inayoendelea: ❌ HAINA nafasi ya kuchezea dhahabu ✅ Inapaswa kuiongeza, si kuipunguza
  7. Man kavelli

    JamiiForums Tanzania Ni rapa gani alikufanya uanze kusikiliza mziki wa HIP-HOP?

    Makavelli pac,DMX, Eminem, Nipsey, RJ Payne, notorious, Ice cube, Snoop, Gunna,
  8. Man kavelli

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kufanya maombi ya ajira katika Jeshi la Uhamiaji

    Kama unatumia sim Rotate screen itaona miongozo yote
  9. Man kavelli

    JamiiForums Tanzania As a man it's important to learn early the dignity of manhood

    Our generation is filled with women who are date pool bounty hunters. We have many women who let themselves go in their prime, sleep around with different men for the dollar bill, to keep head above water and live the lifestyle of their fantasies while dismissing the young, sincere, hardworking...
  10. Man kavelli

    JamiiForums Tanzania Botswana imefanyaje kufikia hatua hii?

    Kuunga wapi Wewe unaandika Kwa mihemko Mwendazake alishawahi Kusema Tanzania ni tajiri ,inarasilimali ni za KUTOSHA. Wewe unasema za kuunga unga ,,Chawa wa mama . Nenda kaimbe mama anaupiga mwingi🚮
  11. Man kavelli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ijue siri kuu ya mahusiano katika Ulimwengu wa Roho

    ASANTE SANA MTU WA MUNGU ,,UZIDI KUBARIKIWA UMENIFUNGUA SANA WEWE UMENIFANYA NI DOWNLOAD APP YA JAMII FORUM KUKUFATILIA ZAIDI🙌🏿🙌🏿🙌🏿
  12. Man kavelli

    JamiiForums Tanzania Tafuteni pesa, hakuna mke wa mtu

    Mke wa mtu siyo sumu, sumu ni pesa anayoitaka
Back
Top Bottom