Recent content by Man kante

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa kusoma course inaitwa FOOD SCIENCE pale SUA

    Nielekeze fresh mkuu kwanini umuhimu na uwanja wake ukoje
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa kusoma course inaitwa FOOD SCIENCE pale SUA

    Kwanini mkuu naomba ufafanuzi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa kusoma course inaitwa FOOD SCIENCE pale SUA

    Hahaaha mdogo angu SENETA umenifata hadi huku kutembeza uchawi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa kusoma course inaitwa FOOD SCIENCE pale SUA

    Imetokea tu mkuu accidentally
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa kusoma course inaitwa FOOD SCIENCE pale SUA

    Sikuichagua mi niliweka option nyingi ya kwanza ilikua animal science ya ya pili general agriculture iyo ilikua ya mwisho ya tano kuchagua nilitaka kubadili so kabla sijafanya inabd nijue ikoje kiutaalam zaidi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa kusoma course inaitwa FOOD SCIENCE pale SUA

    Habari za Leo wakuu, Binafsi nimechaguliwa kusoma course inaitwa food science pale sua kwa mwaka wa kwanza wa masomo 2021/2022. Ila nimetamani kupata kujuzwa mengi kuhusu hii course katika kila nyanja kama ifuatavyo:-, #Ugumu wake? #fursa zake kimasoko katika ajira? #kujiajiri kwake? #faida...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nichagueni kuwa Rais wenu 2025 niwafanyie yafuatayo...

    Umepita mkuu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Napotuma maombi ya chuo namba ya uthibitisho (Verification number) inakataa

    Kwanza verification namba unayo.?? AVN namba award verification number inapatikana ..Nacte.go??? Unayotakiwa kutumia kuapply chuo?? Inatolewa kwa elfu 10 umeipata???
  9. M

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

    Siti ya kwanza mkuu nasubiri waje ..
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali, kozi ipi bora kati ya General Agriculture, Animal Science na Crop science?

    Habari wakuu, Ninaomba kupewa muongozo au msaada kua kati ya kozi hizo tatu za kilimo ipi ina tija na ni nzuri haina usumbufu mwingi mbeleni kwa pale SUA. Pia, soko lake zuri iwe kwenye kujiajiri au kuajiriwa Nahitaji kuchukua moja wapo hapo nikipewa faida na hasara itanisaidia kutambua wapi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Swali lolote kuhusu mambo ya upande wa pili (kiroho)

    Ndo nini hichi mkuu ?
Back
Top Bottom