Recent content by Man Jaribuni

  1. Man Jaribuni

    JamiiForums Tanzania wale wa physics pitieni hapa munipe jibu

    3 & 4 zitajaa kwa pamoja km speed ya maji itakua ndogo ya wastani
  2. Man Jaribuni

    JamiiForums Tanzania Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

    Nina tablet yngu LG V909 imekufa battery, nawezapata? Na price yke ni hw much? Npo seriuos aisee
  3. Man Jaribuni

    JamiiForums Tanzania Botellón – Get Together ya Wana JamiiForums - Ijumaa Tarehe 29 Julai 2016

    Nyc, 'l try my to be ther
  4. Man Jaribuni

    JamiiForums Tanzania Waislam wa Tanzania na tatizo la udini katika Wizara ya Elimu

    Acheni kukuza mambo ya kipuuzi ambayo hayana tija katika ustawi wa amani yetu na mustakabali wa taifa letu.
  5. Man Jaribuni

    JamiiForums Tanzania Yu wapi Prof. Mark Mwandosya?

    Wazee wa shoneni suti walisema anajiunga UKAWA sio muda mrefu kipind kile cha kampeni so bado tunasubir ajiunge UKAWA
  6. Man Jaribuni

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Video kali sana
  7. Man Jaribuni

    JamiiForums Tanzania Madiwani na wabunge wa UKAWA Manispaa ya Kinondoni tumeiomba Ikulu (OFISI YA RAIS) iteue Tume huru

    Nashangaa kuona chadema na ukawa kwa ujumla kusimama kidete kumtetea uyu Natty, kuna siri gani nyuma ya pazia?
  8. Man Jaribuni

    JamiiForums Tanzania Operesheni safisha wenye vyeti feki Serikalini yaja mwezi Februari mwakani

    Aende private tu wakamkadirie mshahara kulingana na sifa zale
  9. Man Jaribuni

    JamiiForums Tanzania Operesheni safisha wenye vyeti feki Serikalini yaja mwezi Februari mwakani

    Tajaaaaaaaa kulazimisha rizki sio yako ni dhambi, taja tu aisee
  10. Man Jaribuni

    JamiiForums Tanzania Je Rais Magufuli anamlinda ama anamuogopa Mussa Assad baada ya kukaidi katazo la safari za nje?

    Huwezi kutoa maamuzi makubwa kwa sababu ya habari za magazeti, magazeti yetu yenyewe aya mnayajua yalivyo na mihemko wakat mwengine so nadhani rais sio mtu wa kukurupuka, analifanyia kazi
  11. Man Jaribuni

    JamiiForums Tanzania Good music of all the time, Its all about music

    Evelina - Aurlus Mabele Kabibi - Sam Manguana Neema - Cosmas Chidumule Mwanameka - Marijani Rajabu Jogoo la shamba - Mbaraka Mwinshehe Yako wapi mapenzi- Christian Bella Wanoknok - Mandojo & Domo kaya Save the best for last - Vanesa William Greatest love of all -Whitney Houston Unbreak my heart...
  12. Man Jaribuni

    JamiiForums Tanzania Baraza jipya la Mawaziri: Tanzania Mpya tuliyoitegemea imeanza kuyeyuka..!

    Sio lazima umuamini, unadhani imani yako kwake inaongeza au kupunguza chochote?
Back
Top Bottom