Tarakilishi
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 2,181
- 2,446
Ni second hand au ni mpya kabisa?Ndio maana naitwa Vunja bei...cm nauza bei rahis...au wewe ushazoea kupigwa bei kuubwaaa na wahindi ndio ujue kitu ni chenyewe original?? Bei zangu ni pouwa tu ili maisha yaendelee..siuzii tamaa mie
Una HTC ONE ya laini mbili?