Recent content by man-eno

  1. man-eno

    JamiiForums Tanzania Ndugai acha kuwaona watanzania ni wajinga. Kama Hayati Magufuli alipotoshwa, wewe kama Spika kwanini haukumshauri?

    Kumbuka bunge ni la kijani rais alikua wa kijani mbabe nani angeweza kumpinga? nani angeweza kumshauri? Aliminya uhuru wa kujieleza nani angeweza kuandika? Wengine wanashukuru Mungu ameliona hili ndio maana akampa uongozi mama samia Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  2. man-eno

    JamiiForums Tanzania Huwezi fananisha Nyerere na Magufuli hata kidogo

    Lilianza kujengwa awamu ya mwaka 1980 na kumalizika 1985 na tar 14 oct mwaka 1985 lilifunguliwa na kuanza kutumika sikumbuki lilifunguliwa na nani unaweza nisaidia
  3. man-eno

    JamiiForums Tanzania Huwezi fananisha Nyerere na Magufuli hata kidogo

    HUWEZI MFANANISHA NYERERE NA MAGUFULI HATA KIDOGO. [emoji117] Nyerere alijenga mabwawa ya kufua umeme Kidatu, Kihansi, Nyumba ya Mungu, Hale [emoji117] Nyerere alinunua ndege na ATC ikafanya biashara katika soko la ndani/kimataifa [emoji117] Nyerere alijenga UDSM, Mzumbe, NIT, Dar Tech, Arusha...
  4. man-eno

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Tandahimba
  5. man-eno

    JamiiForums Tanzania Katika timu ya Yanga kuna cheo cha CEO?

    Mtendaji mkuu wa yanga ni nani kama sio katibu..ndg!!
  6. man-eno

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ujio wa Tundu Lissu utatufanya tukapige kura

    Ni kweli kabisa lissu ndio tumaini lililobaki hakuna mwingine tutamwamini akisimama kugombea kiti cha urais 2020 mimi pamoja na familia yangu wote tutapiga kura
  7. man-eno

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wa tandahimba nije njombe au mbeya songwe rukwa
  8. man-eno

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza kuongeza Muda wa kuandikisha wapiga kura hadi Oktoba 17

    Katika harakati za kwenda kujiandikisha nikashangaa kuona leo nilieajiandikisha ni mimi tu kwa siku nzima
  9. man-eno

    JamiiForums Tanzania Diamond aelemewa gharama za kumtunza Zari, lolote kutokea muda wowote

    Poa wa tandahimba aiseee
  10. man-eno

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa mama Neema. Je, nichukue milioni tano au niache?

    Aiseeeee mungu akutie nguvu
  11. man-eno

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Aliye tayari kuja Mtwara tandahimba mimi nije mbeya
  12. man-eno

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Sumaye kisiasa ni wa kiitikadi au kimaslahi?

    Ukawa ndo mpango mzimaa
  13. man-eno

    JamiiForums Tanzania Hekaheka za Uchaguzi: Mpiga picha bora wa siku katika kampeni

    Lowasa jembe la wanamabadiriko pipoziiiiiiiii........
Back
Top Bottom