Recent content by mamy cae

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wajue kero za Majiji yanaongozwa na Upinzani tu? Majiji yanayoongozwa na CCM Hakuna kero?

    Hilo nipigo la kisigino kwa ccm wenyewe.wapinzani hawana hata miaka miwili na ccm yenyewe miaka nenda rudi waliyamiliki hivyo wanachokifanya nikujidhalilisha wenyewe sababu kero za wananchi hazijaanza mwaka huu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Gavana Ndulu(BoT): Kufungua akaunti maalum si kosa, fedha kuliwa ni vigumu

    Kwa ni uongo haziongezi mzunguko? Mzunguko unapokuwepo ndiyo wao wanapata faida
  3. M

    JamiiForums Tanzania Gavana Ndulu(BoT): Kufungua akaunti maalum si kosa, fedha kuliwa ni vigumu

    Chanzo tafadhali
  4. M

    JamiiForums Tanzania Windows choice: Ipi ni nzuri kati ya hizi?

    Watu wengine ubishi ni jadi yao. Katika hiki kitengo watu wanakuwa huru kurekebishwa pale ambapo alikosea. Techology kila leo inabadilika na yaweza kuwa wewe uko level fulani na mwenzako akawa juu kidogo. Haitakiwi kukariri.ili upate na kuelewa yakubidi kuuliza na kufanya research kwa kile...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Bajeti iliyopitishwa ya mwaka 2016/2017 utekelezaji unangoja nini?

    Hahaaaaa,du basi wananchi tukae kimya maana sisi ndiyo tuliyowapa nafasi ya kufanya wanayoyafanya.wapi wabunge waupinzani wanaotuambia wanataka kuleta tanzania mpya?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanaompinga Rais Magufuli wachunguzwe

    Kabla ya kuwachunguza anza kumchunguza yeye kwa nini watu wako kinyume naye. Ukisikia mtaani unaitwa mwizi kabla ya kwenda polisi kushtaki jiulize sababu ya wewe kuitwa mwizi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kukuza share za serikali migodini ili kuongeza gawio la umiliki???

    Hakuna zaidi ya kufuta mikataba yote. Hayo yote yako chini ya mikataba na huwezi kufanya lolote sababu mkataba utakubana
  8. M

    JamiiForums Tanzania Bajeti iliyopitishwa ya mwaka 2016/2017 utekelezaji unangoja nini?

    Naona mmetafuta kivuli cha uhakiki,zamani ilikuwa tume juu ya tume
  9. M

    JamiiForums Tanzania Bajeti iliyopitishwa ya mwaka 2016/2017 utekelezaji unangoja nini?

    Hahahaaa,kabla ya kumtafuta huyo kwanza tafuta aliyewaloga.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tufahamishane kuhusu engine exhaust (mngurumo)

    Sasa hiyo gharama si angenunua gari lingine
Back
Top Bottom