Wanaompinga Rais Magufuli wachunguzwe

Wanaompinga Rais Magufuli wachunguzwe

Wanafiki ndivyo walivyo kumtaja Mungu kila siku, halafu hapo hapo wanadhulumu wahanga wa tetemeko mabilioni yao. Hata kwenda kutoa pole anajiona yeye ni wa maana sana.


Tatizo pogba alitudanganya yy mchezaji bora nikaamin kuwa msema kweli Na ndo mana anatamtaja Mungu kumbe Hana lolote agrrrrrrrrrr .....tuisome no wote
 
Inabidi tuwachunguze akili, nia na madhumuni ya watu wanaompinga kwa kila jambo, analofanya Rais wetu Mh. John Magufuli, haiwekeni kila jambo wanakuwa wakosoaji wakubwa, bila kujali hata kama jambo zuri.

Kuna kero ambazo watanzania wengi tulikuwa tunazipigia kelele miaka nenda miaka rudi, Kwa dhati kabisa Mh. Rais amejaribu kutatua kwa uwezo wake aliopewa na Mwenyezi Mungu. lakini bado kuna watu kwa sauti kubwa wanampinga kwa hoja zisizokuwa na mashiko.

Nchi nyingi duniani zinaona na kusema Tanzania tumepata Kiongozi bora, lakini sisi bado hatujaona ubora wa kiongozi wetu.

WATANZANIA INABIDI TUWACHUNGUZE AKILI NA DHAMIRA YAO WATU WANAO MPIGA RAIS WETU KWA KILA JAMBO LA MAENDELEO ANALOFANYA.
Kwa hiyo katatua kero kwa mahospitali kukosa madawa? Bwana usinikumbushe machungu kuna jirani yangu alifariki baada ya kukosa chanjo ya tetanus hivyo usituleteee upuuuzi wako humu. Pambaaav!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wanafiki ndivyo walivyo kumtaja Mungu kila siku, halafu hapo hapo wanadhulumu wahanga wa tetemeko mabilioni yao. Hata kwenda kutoa pole anajiona yeye ni wa maana sana.
Tunaamin Ile misemo nje ngozi ya kondoo ila ndani bora mbwa mwitu ...bora asingefika Na tukaona hta kauli...eti tetemeko halijaletwa Na timu yke..inauma Leo kuona eti pesa imejengea jengo la chichimu huko......
 
Kwa hiyo katatua kero kwa mahospitali kukosa madawa? Bwana usinikumbushe machungu kuna jirani yangu alifariki baada ya kukosa chanjo ya tetanus hivyo usituleteee upuuuzi wako humu. Pambaaav!
Wewe ndiyo Pambafuuuu, mpuuuuuuzi moja, Mwenye mawazo mgando unaefikiria shida na njaa zako zitatatuliwa na Rais, Ovyooooo kabisa.
 
Embu nipe mfano mmoja wa jambo zuri alilolifanya likapingwa
 
Wapiga dili na watu walozoea kuishi kwa ujanja ujanja ndio wapiga kelele wakubwa.
Kweli kabisa wanufaika na dili haramu ndiyo wanapiga kelele, maana sasa hivi mipango ya kupiga dili mingi imedhibitiwa.
 
Yaani nisimpinge sizonje kisa? Yeye Mungu au malaika? Aende zake huko maisha magumu kuliko maelezo yaani huyo jamaa nisivyompenda! Na ni haki yangu maana sijawahi mkubali
yupi unaye mkubali?
 
Kwa Tanzania ilipokuwa imefikia, ilikuwa anahitaji raisi kichwa maji ambaye anaendesha mambo kama dikteta hadi baada ya kuweka mambo sawa. Tulikuwa tumefikia pabaya jamani. Nchi ilikuwa chini ya madalali kila mahali. Magufuli anainyoosha kwanza na mambo mengine baadaye!!
Nina wasiwasi wanaompinga bado hawajajua kipi halali kipi dhambi, Ukweli rais wetu anafanya vizuri kwa kiwango chake, nchi ilifika mahali pabaya sana.
 
Mtu akikosa katika moja anafuta mema kumi aliyoyafanya. Mfano; umekopa benki na kulipa kwa uaminifu mkopo wa kwanza, wapili , watatu na hata wa tisa lakini ukashindwa rejesha wa kumi utakuwa umejiondolea sifa za kukopa.
Kaa chini fikiria kwann wengi waseme jambo moja tu? Wanasema lisemwalo lipo
 
Inabidi tuwachunguze akili, nia na madhumuni ya watu wanaompinga kwa kila jambo, analofanya Rais wetu Mh. John Magufuli, haiwekeni kila jambo wanakuwa wakosoaji wakubwa, bila kujali hata kama jambo zuri.

Kuna kero ambazo watanzania wengi tulikuwa tunazipigia kelele miaka nenda miaka rudi, Kwa dhati kabisa Mh. Rais amejaribu kutatua kwa uwezo wake aliopewa na Mwenyezi Mungu. lakini bado kuna watu kwa sauti kubwa wanampinga kwa hoja zisizokuwa na mashiko.

Nchi nyingi duniani zinaona na kusema Tanzania tumepata Kiongozi bora, lakini sisi bado hatujaona ubora wa kiongozi wetu.

WATANZANIA INABIDI TUWACHUNGUZE AKILI NA DHAMIRA YAO WATU WANAO MPIGA RAIS WETU KWA KILA JAMBO LA MAENDELEO ANALOFANYA.
TUTAANZA NA WEWE MTOA POST(THREAD STARTER) U RAIS NI TAASISI
 
Naona wengi waliochangia humu wana akili nyingi sana na wengine mavi tu kwa kweli Rais hatuna tunamfano Wa rais kweli kwa akili ya kawaida utaomba maskini wakuombe kisa matajiri unadai wanapeleka nchi kusiko inatokea tukio kama LA kagera hao matajiri uliyowatusi ndo wanakuwa Wa kwanza kujali hao wahanga kibaya zaidi hao masikini wanadhulumiwa misaada yao na mdingi duuuuuuuh hiyo Tanzania nchi yangu ya miundo mbinu
 
Kuwachunguza hakutaondoa upinzani dhidi yake !!. Kumbukeni karibu nusu ya WaTz walimkataa kwa kura . Watamkubali kwa kuona matendo mema ya serikali na si ubabe.

1.Ameanguka sana kwenye swala la mikopo ya wanachuo
2. Swala la Kagera ndio amefeli kabisa
3. Kisiasa ametaka kudhibiti peke yake siyo fair.
4. Mengine anajitahidi
Kweli kabisa kwenye swala la mikopo kwa wanafunzi, itabidi alitazame upya, sababu sio rahisi kwa wazalendo waliotoka familia maskini kuweza kumudu gharama za kusomesha mwanafunzi wa chuo kikuu.

Kagera hapa lazima ufumbuzi ufanyike, maana raia wanateseka, binafsi naumia sana kuona watu wanateseka halafu hakuna majibu yanayoniridhisha.

Siasa hapa inatakiwa awepe nguvu wapinzani ili aweze kujua wapi amekosea na wapi yupo vizuri. Nina imani CCM imara inatokana na Upinzani imara, ingawa sipendi muda wote watanzania tuwe tunafanya siasa kwa kila jambo.
 
Kabla ya kuwachunguza anza kumchunguza yeye kwa nini watu wako kinyume naye. Ukisikia mtaani unaitwa mwizi kabla ya kwenda polisi kushtaki jiulize sababu ya wewe kuitwa mwizi
 
Kwa Tanzania ilipokuwa imefikia, ilikuwa anahitaji raisi kichwa maji ambaye anaendesha mambo kama dikteta hadi baada ya kuweka mambo sawa. Tulikuwa tumefikia pabaya jamani. Nchi ilikuwa chini ya madalali kila mahali. Magufuli anainyoosha kwanza na mambo mengine baadaye!!
Kwahiyo kula hela za tetemeko ndio kunyosha nchi na kutotoa mikopo nikunyosha nchiee
 
Back
Top Bottom