Recent content by mamu wa dar

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuwa upinzani sio 'endorsement' ya kuwa kipofu wa macho na fikra

    Watu mnaocomment ujinga hapa mpo kwenye siku zenu za joto mnahitaji kupandwa ili akili ziwakae sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuwa upinzani sio 'endorsement' ya kuwa kipofu wa macho na fikra

    Hakuna Kitu kinaumiza wananchi wapigaji Kura kama kumchagua kiongozi hawaletee maendeleo alafu Kumbe unajikuta umemchagua Anti-government kazi yake ni kuikosoa serikali kila siku mahakamani wengine wanashinda Dar es saalam kuliko kwenye majimbo yao kila siku mahakamani bungeni kutafuta...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa akutana na mzee wa upako

    Hatar sana[emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Kifo cha mwanaJamiiForums mwenzetu Ibra87, mtunzi wa riwaya inayopendwa "Nitakupata tu"

    Kigamboni sehemu gani msiba upo? Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Arusha Mjini: Diwani wa Kata ya Muriet, Credo Kifukwe ajiuzulu

    Upinzani kwisha kwisha kwisha kabisaaaaaaa in Limumba voice a.k.a le profesalinalinyo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  6. M

    JamiiForums Tanzania Arusha Mjini: Diwani wa Kata ya Muriet, Credo Kifukwe ajiuzulu

    Maskini mpe chakula na divai asahau shida zake.uchawi ni tumbo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Arusha Mjini: Diwani wa Kata ya Muriet, Credo Kifukwe ajiuzulu

    Tanzania ni nchi inayoongoza kuwa na majinga mengi kwanza uhuru wenyewe tuliupigia magoti hatujui kufight hivyo so jambo la kushanga mtanzania kuuza utu wake na haki zake kwaajili ya matumbo democracy haitakaa kuwepo Tanzania wala upinzani hakuna wanajiita upinzani Kwa ajili ya matumbo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimejaa hofu kwa nilichokishuhudia kwa mpenzi wangu

    Duh wanawake tumefika pabaya hawa Wanaume Ndo maana wanatembea njiani wanaongea wenyewe
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kama ulikula hizi pipi na bado uko kwenu

    Pipi gololi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  10. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aokoa mamilioni, atembea kwa miguu kwenda ofisini

    [emoji53]
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kina nani wanaweza kumdanganya Rais wetu?

    Hivi wakuu Leo nasikia kuna misa Kwa gwajima inaanza saa ngapi?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Polepole: Walitaka kumhonga Rais Magufuli Sh. Bilioni 300 ili asifanyie kazi taarifa ya mchanga

    Nchi inaongozwa na chama na siyo mihimili ile mitatu tena[emoji32][emoji32][emoji32] kwani hiyo Humphrey ni faru gani??achani kiki tunataka mambo yapelekwe kisomi na siyo kusoma na kuandika pointless za kuhongana
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Photos: Donald Trump and Uhuru Kenyatta finally meet

    Aisee uhuru Kenyatta ameng'ara sema yeye haogopi kikristo kama huyu wa kwetu font fedi sasa sijui angeongea nini huko[emoji21]
  14. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Hizo fedha Mnazofanyia Starehe kwenye Mabaraza yenu kwanini msielekeze kwenye Maendeleo?

    Mkuu umeshauri point sana lakini subiri waje hapa utakoma nao UKAWA maana Hilo suala la kufanyia mikutano shule msingi ni uzalendo mkubwa wangesema badala ya kupigwa na kiyoyozi watumie zile pesa kufanya maendeleo Kwa wananchi atleast ingetusisimua zaidi wapiga Kura
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ni rasmi sasa sakata la mchanga litatugharimu

    Alafu me ningependa pia kushauri serikali kuwa wanapoingia mikataba ya aina yoyote na nchi wahisani katika Maswala ya kiuchumi na maendeleo kwanini wasiwe wanaweka hadharani tunaisoma na sisi wananchi tunachanganua tunatoa Maoni yetu b4 hatujajiingiza kwenye mikataba ya kutunyonga?maana kwanza...
Back
Top Bottom