Recent content by mamsapkhan

  1. mamsapkhan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndoa inanivunja moyo, najuta kwanini nilimuoa huyu mwanamke

    Pole Sana kwa maswahibu, ushaur wa kumuacha siwez kukupa maana huwa ni wa mtu mwenyewe , ningeweza ningekwambia muache aende kwao kumshikia mtu silaha na kumjeruh ni mbaya Sana angetakiwa awe na busara ya kuuliza hata ingetokea kugombana bas sio kutumia silaha huyo.hafai anaweza kukupa sumu pia...
  2. mamsapkhan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu ni wakuoa kweli?

    Inataka moyo kuishi na mtu ambae hajui asante nilishawah kuishi na mtu hajui asante samahan wala karibu binafsi niliona kama najipendekeza tu nilishindwa kuishi nae
  3. mamsapkhan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananilazimisha nimuombe msamaha mbele ya Kanisa

    Safi sana ampige chini na yy mbele ya kanisa
  4. mamsapkhan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananilazimisha nimuombe msamaha mbele ya Kanisa

    Safi mwanamke gani huyo
  5. mamsapkhan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemkumbuka Ex wangu

    Na utamkumbuka Sana kashapata alietambua thaman yake
  6. mamsapkhan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Duh hahaha
  7. mamsapkhan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume HIV+ anahitajika

    Utapata Inshallah
  8. mamsapkhan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Asante kwa kunipenda" huwa inakera sana

    Ukiona hivyo ujue hujamvutia anatumia busara asante kwa kumpenda ila yy hajakupenda
  9. mamsapkhan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    Walah nimecheka sana
  10. mamsapkhan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mungu mkubwa; Nimekuta sina maambukizi ya VVU baada ya kulala na muathirika

    Hahaha ndo amesalimika sio
  11. mamsapkhan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake kuweni waaminifu

    Tuambie yako kwanza ndo uanze kuhangaika na ya wengine
  12. mamsapkhan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raha ya kuoga mume na mke kwa pamoja

    Hahahaha ushuhuda huu hapa
  13. mamsapkhan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kilio changu kimejibiwa Perfume zenye harufu ya K zinapatikana. Kwa sisi walaji zinaongeza munkari,hamu ya Mapenzi

    Mh hii dunia inaelekea wapi mbona inakimbia sana
  14. mamsapkhan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili suala linakuaje, huyu dada amekuja mara ya tatu ofisini kwangu kutoa gesi. wanawake wa siku hizi hamna aibu?

    Amekudharau sana aise mpk anakujambia
Back
Top Bottom