Recent content by mamkhande

  1. mamkhande

    Pesa yetu thamani yake iko wapi?

    Wapendwa ndugu zangu,ni matumain yangu kwa Uwezo wake Muumba ni wazima kama kuna wagonjwa basi Muumba atawapa tahfifu,na walipotelewa na wapendwa wao pia poleni sana yote ni kazi yake yeye Mwenyezi awape moyo wa subira na iman katika hili. Jamani hebu naomba tujadili hili PESA YETU YA TANZANIA...
  2. mamkhande

    CCM tusiende tena kwenye Midahalo

    (Acha wehu na mawazo mgando plus mawazo STAAFU,???? kwani Vuai gugo haijui ucnichekeshe ndugu hAta asilimia pia mtu iMEMshinda????????? Si kweli, tupatupa unasema uongo. Vuai ali vuai ni kati ya waliozungumza vizuri tena kwa kujiamini pamoja na yule Awadh ....wa tume za haki za binadamu...
  3. mamkhande

    Hapiness Magese avishwa pete ya $76,000

    Hongera zake,lakin mpk sasa ndoa bado ama pia ni ndoa ya mabox:confused:
  4. mamkhande

    Mwanamke: Vitu ambavyo vinaweza kumfanya mwanaume asikuone una mvuto pamoja na uzuri wako...

    Hhahahah dk 2 mbele 3 nyuma jamani yani ukipata mke huyu wallah nyumba unahama hana jema hata kidogo.
  5. mamkhande

    Presidents Kagame and Kikwete hold talks on the sidelines of the ICGLR Summit - Kampala

    Tena ndugu umekosea ungemwaambia akaandike upuuzi wake huo fcbk sio humu
  6. mamkhande

    Presidents Kagame and Kikwete hold talks on the sidelines of the ICGLR Summit - Kampala

    Yani bora umeona ndugu yangu huyu kiumbe wa mungu hata hajijui mackin anaongea kama alikuwa anatembea ghafla kakatwa kichwa na alikuwa anawaza upuuzi flani lazima ataweweseka kuongea ujinga wake ndio huyu mpendwa,Sasa kuna udugu gani kati ya JK na PK,------ na Mtutsi udugu wao uko wp ama Mtz na...
  7. mamkhande

    Kwa hofu ya kuzeeka, wasichana hufikia hatua ya kuolewa na yeyote au kuzaa na waume za watu...

    It's true kwa mwanamke kuwa mama means alot katika dunia hii,watu wananyanyasika wanachekwa,na kudhalilishwa pia na cku zote mwanaume HAFI MGUMBA atapata hata wa kusingiziwa Lakini sio kwa mwananke lazima tumbo lionekane.But nadhani maisha kwanza na kujiamini pia kunaweza,zingatia chakula fanya...
  8. mamkhande

    Tall building a threat to Ikulu

    kwakweli nimekupenda wanyamaze milele tumeshachoka na nyimbo zao za mabata maa madogo yanaogelea. UOTE=Komeo;7070774]Kwani hilo jengo limeota ghafla kama uyoga, wakaamka asubuhi wakalikuta lipo? (Hapana) Limejengwa muda wote kwa siri? (Hapana) Unaweza kulificha ghorofa refu kwa kuliwekea...
  9. mamkhande

  10. mamkhande

    Tall building a threat to Ikulu

    hahaaa hilo nalo NENO,anacheza hata nyau
  11. mamkhande

    Tall building a threat to Ikulu

    kwakweli nimekupenda wanyamaze milele tumeshachoka na nyimbo zao za mabata maa madogo yanaogelea. UOTE=Komeo;7070774]Kwani hilo jengo limeota ghafla kama uyoga, wakaamka asubuhi wakalikuta lipo? (Hapana) Limejengwa muda wote kwa siri? (Hapana) Unaweza kulificha ghorofa refu kwa kuliwekea...
  12. mamkhande

    Rais Kikwete awaombe radhi Wanyarwanda

    Upo sahihi dhahabu hizo ndio zinazoa mtoa roho kam waliokufa wameshakufa wahutu ile ni inchi yao pia nilishani kama rais yy ndio alitakiwa kukomesha hili kwa faida ya vizazi vya mika mia ijayo.kuna kitu anakipata aombwe radhi kwa lipi baya waswahili wanasema JERI MWENZIE KUSUDI,UKISIKIA KICHEFU...
  13. mamkhande

    Watanzania wawili wakamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong

    Ni kweli na hivi kwetu kupata passport ni kama kifo na mwandamu mana rahic kweli mimi nipo kwenye airline Industry yani mtu anakupa passport uangalie jina na kuhakikisha visa,yani hiyo lafudhi anayotoa yani unajua kabisa huyu wala si wahapa,hii ni pesa imetembezwa uhamiaji mtu kapata hati ya...
  14. mamkhande

    Rais Kikwete: Nchi iko salama, atakaye jaribu atakiona cha mtema kuni

    Bora na wewe umeliona kila kitu wanadhani ni siasa Vingine vitafanywa lakini lazima mtu ajibiwe,wanamlaumu bure Jk sasa hapo mipasho iko wapi?watu wanaongea kama wamekatwa vichwa inatia huruma sana,kagame kazoea watu wapigane yeye afaidike sasa kibaya kipi alichoambiwa akae na watu mezani...
  15. mamkhande

    Rais Kikwete: Nchi iko salama, atakaye jaribu atakiona cha mtema kuni

    Nakubaliana na wewe asilimia zote waswahili wanasema hata kama unamjua mama yako mwanga mwambie mwenyewe,lakini akitokea wa nje kumwambia lazima apate kichapo,japo kuna mabaya yake katika utendaji lakini kwa hili lazima lazima tuwe wamo1.likitokea la kutokea hao wanamuita JK MC ndipo akili...
Back
Top Bottom