Recent content by mamitber

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mamitber

    Walimu JIJI Mwanza walazimishwa kukusanya vyeti vyao vya masomo original na kubaki na photocopy KWA ajili ya wafanya kazi hewa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada naomba

    Nimeapply TCU nikaambiwa hiyo mamba na Nina alikuwa Dodoma university 2012 wakati Mimi sijawai kuomba wala kusoma UDom!nifanyeje jamani?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mke mwenye mimba changa anatoa bleed, tatizo ni nini?

    MKE mwenye mimba changa akaingia bleed tumbo kuuma leo no siku ya tatu tatizo tangu litokee, afanye nini? naombeni ushauri
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sina furaha, ninatamani kurudi kwa wazazi wangu

    nakutunza KWA upendo WA dhati Shem WANGU kumbe umekuja humu kunidhalilisha!nakupa Nafasi nyingine badilika
  5. M

    JamiiForums Tanzania CWT na kodi ya tarakimu moja

    Kweli CWT ni wezi hawasaidii walimu kuwatetea maslai yao!Bali ULA pesa tu!KWA mfano Rafiki yangu alikuwa anakatwa na pspf na lapf KWA wakati Moja!alipoenda KWA mwajiri wake wakastop lapf.hivo akaanza kudai kurudishia makato take ikashindikana akaenda CWT wilaya wakamuhidi kufuatilia sasa ni...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwanamke mwenye ujauzito wa miezi miwili kutokwa damu na tumbo kuuma

    Ushauri tafadhali, Mwanamke kutokwa na damu tumbo kuuma wakati ana mimba ya miezi miwili ni dalili ya mimba kutoka au jambo la kawaida? Nini kinasabisha na solution ni nini? Naombeni majibu sahihi tena ya kusaidia
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mamit

    Naombeni ushauri !Jamani limau na tangawizi hupunguza unene?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Husband anahitajika wana JF..

    Ha!ha!uwe mke wa ngapi?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume, umri kuanzia miaka 30

    Je! Una mtoto au watoto?je! Ni watoto wangapi?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mamit

    Tanzania tunakoelekea ndiyo sahihi?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mamitber

    Asante Kwa taarifa yako
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mamitber

    Application for university imeshatolewa watu waanze kujaza?naombeni jibu kwa wanaojua
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni ya muhimu sana

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] aisee noma
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ajali yaua 29: Mabasi ya Kampuni moja ya City boy yagongana Singida, ni basi la Dar na Shinyanga

    Kweli kazi IPO!tumwombe MUNGU atuepushe na ajali
Back
Top Bottom