Husband anahitajika wana JF..

Husband anahitajika wana JF..

Hiv kwa nn wadada weng humu wanaotafuta wenza ni kuanzia age of 30 plus? ina maana wakifikisha huo umr ni vigumu kumpata atakaye muoa? Au tatzo n nn
Katika umri huo ni mahala pa kukata tamaa, lazima mtu aanzee kuhaha akizubaa atajikuta 35 mara 40, mara jiiiiii, limezama.ke mwenye 30 anamtafta mwenye 35 hadi 40 ambao ni vigumu kuwapata, waliowengi tayari wanawenza na kama hawana wenza na wao wanataka wa 25s.
 
Back
Top Bottom