Msaada: Mwanamke mwenye ujauzito wa miezi miwili kutokwa damu na tumbo kuuma

mamitber

Member
Jul 4, 2016
28
4
Ushauri tafadhali,
Mwanamke kutokwa na damu tumbo kuuma wakati ana mimba ya miezi miwili ni dalili ya mimba kutoka au jambo la kawaida?

Nini kinasabisha na solution ni nini? Naombeni majibu sahihi tena ya kusaidia
 
Awahi fasta hospitalini ni dalili ya mimba kutaka kuharibika...
Ama imeshaanza kuharibika taratibu hospitalin watampa jibu kamili
 
Back
Top Bottom