Recent content by Mamen

  1. Mamen

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Profession: Teaching and Sales Experience : 2 years in Teaching but 1 year in Sales Education level: Bachelor degree Location: Dodoma Urban
  2. Mamen

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kampuni bora za umeme wa jua (solar)

    Natumia Mobisol kwa sas (Mysol) mwaka wa 5 huu haijawahi kunisumbua na vitu vyake ni Super kabisa
  3. Mamen

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba kupata ajira GardaWorld Security sasa hivi lazima uwe na cheti cha Chanjo ya Covid?

    Nipo dodoma ofc zao kwa anaeyefahamu zilipo
  4. Mamen

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba kupata ajira GardaWorld Security sasa hivi lazima uwe na cheti cha Chanjo ya Covid?

    Leta hyo connection m nina chet cha Covid-19 nianzie wap?
  5. Mamen

    JamiiForums Tanzania Mambo moto kwa interns wa TAESA kupata ajira, interview za kuzuga tu

    Npo dodoma apa nimemalz traing kesho ntaingia interview sa 2 asubh
  6. Mamen

    JamiiForums Tanzania Mambo moto kwa interns wa TAESA kupata ajira, interview za kuzuga tu

    Nimejaza fomu online mwez wa 10 nimeitwa mwezi wa 11 na leo nipo training nacklzia apa
  7. Mamen

    JamiiForums Tanzania (Internal memo) Kampuni ya sola Engie zamani mobisol wanataka watu 20 wa sells

    Mkuu naona umeaandika kwa uchungu sana pole!
  8. Mamen

    JamiiForums Tanzania Mkeka wakwenda oral NAOT na HESLB tayari

    All the best wengne tumekandwa tusubr next
  9. Mamen

    JamiiForums Tanzania Ajira za Utumishi (Ajira Portal)

    Tulia tu utaitwa kama umekidhi vigezo vyao hata mm nimeomba MOcu mpka leo account inasoma recevied tu
  10. Mamen

    JamiiForums Tanzania Nani ameshawahi kupata Kazi au internship kupitia TaESA (Tanzania Employment Agency)?

    Ndo kwanza nmemalza kujisajil nina cku ya 5 leo na wameaprove tayr account yangu so nasubr kupgiw simu ya interview!
  11. Mamen

    JamiiForums Tanzania Maswali ya interview NAOT na HESLB

    Hongeren mlioitwa Kwenye Oral interview ya HESLB wengne tumekandwa na pass mark ya 48 huku dah!
  12. Mamen

    JamiiForums Tanzania Maswali ya interview NAOT na HESLB

    Sas yule dada alisahu kuandika namba yake ya mtihan alkuw anawaza nn akawa anatuchelwesh kusepa LT 2 half sijapend ule utaratib wao wa kusign out
  13. Mamen

    JamiiForums Tanzania Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru

    Acha inyeshe tuone panapovuja maan stori zingine dah
  14. Mamen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka mwanaume anayefanya kazi

    Subr wakudanganye utakaye kuja kumpata ni hawa ambazo sifa zao umezikataa asa hv
Back
Top Bottom