Recent content by Mambundamu

  1. M

    Ubalozi wa Swedeni: Tanzania kufurika wawekezaji

    Mabeberu oyeee Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Car4Sale Corona premio inauzwa kwa mnada: weka dau lako

    Milioni moja km Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Msaada kwa Mimi Angel kurudi nyumbani

    Story closed ndio unaamka Mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Msaada kwa Mimi Angel kurudi nyumbani

    Kwako ni ubaruku Mimi ni mjumbe Wa AU Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Dada Jasiri wa kukagua Machine za wanaume

    Mimi ninamzinga by the way account yako you tube inaitwaje Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Nahitaji msaada wakujua jinsi yakukopa tala

    Hunahela unataka kukopa Fanya kazi kunguru wewe Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Msaada kwa Mimi Angel kurudi nyumbani

    Kama ulivyo kibaka Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Msaada kwa Mimi Angel kurudi nyumbani

    Ukiwa tapeli unawaza kila mtu tapeli kwa hiyo kwa mawazo yako finyu unadhani tunataka kutapel usafiri? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Msaada kwa Mimi Angel kurudi nyumbani

    Thread closed maana naona kunawatu bado wanaakili za kitoto wanawaza utapeli hakuna mtu aliyehitaji pesa yako hapa wewe unaye andika ujinga tulihitaji msaada Wa lift tu kama ni kwenye IT au gari binafsi binti afike kwao full top na sio haya mambo yasiyo na msingi if you can't help ni vyema...
  10. M

    Msaada kwa Mimi Angel kurudi nyumbani

    So msipende kukalili Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Msaada kwa Mimi Angel kurudi nyumbani

    Kama kunamtu anagari private au anaweza mkatia ticket it will be better Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Msaada kwa Mimi Angel kurudi nyumbani

    Ngoja niliweke sawa hii thread aliandika Angel huyo binti ila saivi ametika na mke wangu kwenda kanisani msaada anao uhitaji ninamna ya kusafiri na sivinginevyo Mimi nmemsaidia kumtoa hapo alipokuwa anaishi kama Mjumbe but anahitaji kurudi mbeya maana hata cm hana kabakiwa na line nadhani hapo...
  13. M

    Msaada kwa Mimi Angel kurudi nyumbani

    Hii Simu ni yangu Mimi hapa Mjumbe binti ameondoka na wife kwenda church mda si mrefu umeshindwa kuelewa topic Mkuu yeye a naomba asaidiwe lift au kama kunamtu anaenda huko Mimi nmempa msaada Wa kumuondoa hapo alipokuwa anakaa Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    Msaada kwa Mimi Angel kurudi nyumbani

    Nmebakiwa na line tu Simu alichukua ni wiki sasa labda Namba ya Mjumbe naweza kutoa Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    Msaada kwa Mimi Angel kurudi nyumbani

    Habari za asubuhi waungwana Mimi ni binti Mwenye umri Wa miaka 20 kutoka Mbeya ila kwa sasa Niko Dar nilikuja kwajili ya kazi niliitwa na mama yangu Wa kambo nimepitia maisha ya unyanyasaji sana hivyo nmeamua kurudi nyumbani Mbeya na sina hela msaada ninaohitaji ni lift ya gari hadi mbeya au...
Back
Top Bottom