Recent content by Mamboki

  1. M

    JamiiForums Tanzania Obama kaondoka kiulaini narudi na meza yangu ya phone house maeneo ya Ubungo

    Kumbe ndo hilo tena sasa nitaenda wapi naombeni kazi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Obama kaondoka kiulaini narudi na meza yangu ya phone house maeneo ya Ubungo

    Ziara ya obama haikuwa nzuri kwangu kwa sababu zifuatazo KWANZA KABISA NILITIMULIWA NA KIMEZA CHANGU CHA KUUZA PHONE HOUSE BILA SERIKALI KUJUA NDO TEGEMEO LANGU KWA MUDA WA HIZO CKU MBILI NIMEISHI KWA TABU SANA PILI USAFIRI ULIKUWA WA SHIDA SANA MWISHO NAMUOMBA MUNGU VIONGOZI KAMA OBAMA WACJE...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kifo cha CCM kimetimia

    Kiukweli hata ukimuliza mtoto mdogo atakuambia ccm wamechoka. Kwa sababu ya matukio wanayofanya. Moja ya mambo yanayoonesha ccm imekufa na sio inakufa ni KUWATISHA WANANCHI katika nchi yeyote ile pale chama tawala kinapoona kuwa kinapopoteza matumaini na wananchi kinatumia nguvu za dolar...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ninajiunga na CHADEMA

    Nawashukuru wote walionikaribisha kwa amani. Nami nawaahidi nitajitahidi kadri ya uwezo wangu kuwaelimisha vijana niliowaacha kwenye giza,unyanganyi,rushwa,uongozi mbovu<ccm> wajiunge na CHADEMA KWA MWANACHADEMA YOYOTE ANAYETAKA KUNISHAURI AU KUNIELIMISHA KUHUSU TARATIBU ZA CHAMA...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ninajiunga na CHADEMA

    Nawashukuru wote walionikaribisha kwa amani. Nami nawaahidi nitajitahidi kadri ya uwezo wangu kuwaelimisha vijana niliowaacha kwenye giza,unyanganyi,rushwa,uongozi mbovu<ccm> wajiunge na CHADEMA KWA MWANACHADEMA YOYOTE ANAYETAKA KUNISHAURI AU KUNIELIMISHA KUHUSU TARATIBU ZA CHAMA...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ninajiunga na CHADEMA

    Ninapenda kutangazia wanaccm wote akiwemo katibu wa uenezi na itikadi ndugu Nape Naunye kuwa mm MAMBOKI leo nimeamua kujiunga na CHADEMA. Na kadi yao ya ccm nimempa mjumbe wangu. Kuna mambo ambayo yamenifanya nione serikali ya ccm haifai ambazo ni 1:tukio la shambulio la bomu arusha na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania JICHO PEVU: Tathimini na uchambuzi wa matokeo ya uchaguzi wa udiwani wa kata 22, 16 Juni 2013.

    Hongereni watani kwa uwezo mnaoonyesha
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania inakwenda wapiiiiiiiiii?

    Mmnmmh!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hi washikaji leo sina usingizi aliyeko on line aje tukeshe...........!

    Hata maji ya kunywa hakuna
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kaimu Katibu CHADEMA Mtwara adakwa kwa tuhuma za ugaidi

    Waambieni hao CCM kwamba 2meshaelimika hatudanganyiki tena kama ugaidi wanao CCM
  11. M

    JamiiForums Tanzania Gari ya JWTZ lapinduka na kuua askari kadhaa wakiwa njiani kuelekea Mtwara kuongeza nguvu

    Hii ni ishara tosha kwamba CCM imechokwa hata kwa Mungu wamechokwa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jengo la CCM Mtwara lateketezwa kwa moto

    Nawapongeza kwa kazi nzuri chomeni yote na ikiwezekana hata bendera za ccm choma
  13. M

    JamiiForums Tanzania Namtafuta Dk.Slaa

    Hali zenu ni matumaini yangu mu wazima nina shida na Dk.slaa ningeomba yeyote mwenye mawasiliano na Dk.slaa amjulishe. Mawasiliano yangu ni 0689445440
  14. M

    JamiiForums Tanzania Bora CCM wamejua Arusha hawana lao

Back
Top Bottom