Monyiaichi
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 1,826
- 508
karibu wewe binafsi kama umeguswa na umeona ukweli. tafadhali tunaomba usiwalazimishe wengine kuja, hatuhitaji virusi, tunataka watu wenye dira na wakweli.
karibu wewe binafsi kama umeguswa na umeona ukweli. tafadhali tunaomba usiwalazimishe wengine kuja, hatuhitaji virusi, tunataka watu wenye dira na wakweli.
Bila shaka watakuwa wanaona lakini si unajua kilichotokea 2005 wakati wa uchaguzi? Kwa hiyo kila mmoja na-tuone sasa!Wako wapi akina Mzee Msekwa, Mwinyi, Mkapa, Warioba, Salim,Butiku, hivi hamuioni aibu mnayotuletea katika nchi yetu. Kama watu hawana tena uwezo wa kuongoza si wakapumzike majumbani kwao tu. Ebu jitokezeni mmalize jambo hili. Mbona wale waliouawa Arusha kipindi cha mwanzo hamkuwaingilia na mambo yakaisha tumesahau? TUMIENI Busara kidogo tu hamtadharaulika.
Ninapenda kutangazia wanaccm wote akiwemo katibu wa uenezi na itikadi ndugu Nape Naunye kuwa mm MAMBOKI leo nimeamua kujiunga na CHADEMA. Na kadi yao ya ccm nimempa mjumbe wangu. Kuna mambo ambayo yamenifanya nione serikali ya ccm haifai ambazo ni 1:tukio la shambulio la bomu arusha na kauli mbaya za wanaccm 2:uongozi mbaya wa ccm 3:rushwa ndani ya chama 4:kupanda kwa gharama za maisha na mengine mengi USHAURI Ningependa kuwashauri vijana wenzangu ambao wapo ndani ya chama cha mapinduzi kuwa wamepotea mkombozi wa taifa hili ni CHADEMA . MWISHO NDUGU NAPE ACHANA NA SIASA ZA KIJINGA ZINAZOFANYWA NA CCM WAOMBE RADHI CHADEMA NA UJIUNGE NA CHADEMA.
Wako wapi akina Mzee Msekwa, Mwinyi, Mkapa, Warioba, Salim,Butiku, hivi hamuioni aibu mnayotuletea katika nchi yetu. Kama watu hawana tena uwezo wa kuongoza si wakapumzike majumbani kwao tu. Ebu jitokezeni mmalize jambo hili. Mbona wale waliouawa Arusha kipindi cha mwanzo hamkuwaingilia na mambo yakaisha tumesahau? TUMIENI Busara kidogo tu hamtadharaulika.
Mwambie Nape Mwigulu Shonza Mwampamba waje tena Arusha kwenye msiba waone watakachofanywa kwa kauli zao walizotoa.