Recent content by mamasito

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Vijana wa kaz wapo?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Mkuu kuna vijana2 lkn nitakuwa huko mara kwa mara
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Mkuu wng hongera na pole na majukumu ansante kwa kuwa kioo cha jamii hp jf Mimi nataka kulima vitunguu maeneo ya kilosa ila Cna mwenyeji km una taarifa zozote Za mashamba mazuri tujulishane nategemea kwenda jtano Pia ni Mara ya 1
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je unahitaji kufuga Kuku wa Mayai?

    Safi kabisa tupe no kabisa ubarikiwe
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa ufugaji wa kisasa wa Mbuzi wa nyama na maziwa

    Ucniache malila niko tayari mkuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Mr qualifier nataka kwenda kulima kilosa sema Cna mwenyeji mwenye naomba uniwezeshe nimpate mwenyeji Pia unipe no ya anaekodisha shamba nataka nifanye kweli
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Wakuu wng naomba taarifa ya ardhi ya kilimo huko kilosa nataka nijitose mwaka huu ni sehemu gn,Pia wanakodisha kwa sh ngapi, Pia muda huu cjachelewa.?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenye iPhone 3Gs tubadilishane na Nokia Lumia.

    Kaka upo?ulipata cm?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ardhi ya kilimo Tsh 5000 kila Ekari ya mbuga

    Wanajamvi wekeni wazi Hilo jambo ili tujumuike pamoja mbona mpaka Leo haijaeleweka km ni kukodi au kununua?5000?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ardhi ya kilimo

    Naomba taarifa ya ardhi huko kibaha
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mashamba ya kukodi Ruvu

    Mkuu roky hukunitumia Ile no ya mwenye shamba la kukodi bado nasubiri
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Shamba

    Kk malila nami nahitaji eneo huko miono naomba msaada wko bei na usalama ni pm plz
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Cjajua uoteshaji unakuaje
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Naomba mnisaidie juu ya ukulima wa vitunguu ni mwezi gn mzuri, Pia cjui process zake unaotesha au unasia km nyanya?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mashamba ya kukodi Ruvu

    Naomba unitumie no nahitaji plz
Back
Top Bottom