Ardhi ya kilimo Tsh 5000 kila Ekari ya mbuga

newmzalendo

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
1,384
558
Nimepewa taarifa na rafiki yangu,kuna ardhi(mbuga)kila ekari ni shillingi Elfu 5,yes tanzania shilings 5,000/-
Ipo karibu na Galapo,manyara muelekeo wa mkoa wa Dodoma.
nimeambiwa inafaa kwa kilimo cha Ngano,Mahindi na nafaka zingine?
wajuvi wa mambo je hii mmeshawahi kuisikia,if yes imekaaje ,
ninaplan ya kwenda huko December:A S clock:
 
Inawezekana kabisa,ila naomba upate majibu ya maswali yafuatayo;
1. Muuzaji ni nani?
2. Umbali kutoka mbugani mpaka kijiji/mji wa karibu
3. Hiyo mbuga inakaliwa na watu gani kwa muda mrefu
4. Hali ya hewa, je mito ipo?
5. wanyama pori wanaoishi huko.

Juzi nilikwenda sehemu fulani Iringa, kuzuri sana na ardhi nzuri,lakini mvua ikinyesha,hata tractor halifiki. Kuna nyani kibao.
Ukipata majibu tupe feedback. Yasije yakawa yale mashamba ya Basotu yaliyokuwa ya ngano ambayo wanakodisha kwa wanavijiji!!!!!!!.
 
Nimepewa taarifa na rafiki yangu,kuna ardhi(mbuga)kila ekari ni shillingi Elfu 5,yes tanzania shilings 5,000/-
Ipo karibu na Galapo,manyara muelekeo wa mkoa wa Dodoma.
nimeambiwa inafaa kwa kilimo cha Ngano,Mahindi na nafaka zingine?
wajuvi wa mambo je hii mmeshawahi kuisikia,if yes imekaaje ,
ninaplan ya kwenda huko December:A S clock:
karibu galapo na ukiwa unakuja ni-PM
 
TAARIFA ZINAWEZA KUWA HAZIJANYAMBULIWA...SI KUNUNUA NI KUKODI..(tena ni 10,000 na sio 5,000)
i stand to be corrected
 
Ni kununua sio kukodi.bado ninadadisi nikipata majibu e.g ya malila nitayaweka hapa,
mkuu malila asante sana kwa muongozo wako,hasa swala la wanyama waharibifu.
 
Tangu mwaka 2010 mpaka sasa najua unajibu la kueleweka,aya mwagika sasa!
 
Nimepewa taarifa na rafiki yangu,kuna ardhi(mbuga)kila ekari ni shillingi Elfu 5,yes tanzania shilings 5,000/-
Ipo karibu na Galapo,manyara muelekeo wa mkoa wa Dodoma.
nimeambiwa inafaa kwa kilimo cha Ngano,Mahindi na nafaka zingine?
wajuvi wa mambo je hii mmeshawahi kuisikia,if yes imekaaje ,
ninaplan ya kwenda huko December:A S clock:

Ukienda December utakuta inauzwa 100000 Na imekwisha. Chukua maamuzi haraka
 
huko mimi nilipasikia pia! ila nasikia kuna vibopa flani vimeshika uzi wa mtego wa njiwa. ukinunua paendeleze hapo kwa papo!! vinginevyo mali inakuwa sio yako. kisha maji sasa :)
 
Hatari..
 
Wanajamvi wekeni wazi Hilo jambo ili tujumuike pamoja mbona mpaka Leo haijaeleweka km ni kukodi au kununua?5000?
 
Huko msiende kabisa, hata kama ni bure. Kuna ugomvi usioisha pande zile. Jamaa zangu wa Njombe walihamia kule kwa sababu ya hiyo bei, kumbe ni eneo la wajuba. Wamepata hasara si ndogo. Hakufai.
Malila kama Lukuvi angejua angekupa u commissioner wa ardhi pale wizarani kwake. Naamini ungemsaidia sana maana unaijua ardhi ya nchi nzima.
 
Huko msiende kabisa, hata kama ni bure. Kuna ugomvi usioisha pande zile. Jamaa zangu wa Njombe walihamia kule kwa sababu ya hiyo bei, kumbe ni eneo la wajuba. Wamepata hasara si ndogo. Hakufai.

Wajuba kwa maana ya watu wa sudan kusini ama.???
 
Nimepewa taarifa na rafiki yangu,kuna ardhi(mbuga)kila ekari ni shillingi Elfu 5,yes tanzania shilings 5,000/-
Ipo karibu na Galapo,manyara muelekeo wa mkoa wa Dodoma.
nimeambiwa inafaa kwa kilimo cha Ngano,Mahindi na nafaka zingine?
wajuvi wa mambo je hii mmeshawahi kuisikia,if yes imekaaje ,
ninaplan ya kwenda huko December:A S clock:
Mku hili linawezekana kama ni kujiunga na Kijiji itakuwa ni kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom