Recent content by mamanjoge

  1. M

    DED wa Itigi: Ninapakaziwa kesi ya mauaji

    Mungu awasaidie viongozi wetu kuwa na hekima na busara wasitegemee digrii,udaktari na uprofesa in makaratasi tu.
  2. M

    Siri za yafichuka kuwekwa ndani mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, wananchi wasema ni chuki za kisiasa

    Kwani Makonda anaajiri hapa mada ni mwenyekiti kuwekwa ndani. Sasa kama suala lipo na kiongozi wa juu Kaja Na uongozi WA mezani haupo.
  3. M

    Nchi imeharibiwa na Utawala huu wa Awamu ya Tano, laana na itakuwa Juu ya Nchi

    [emoji52] [emoji52] [emoji52] [emoji52] [emoji52] [emoji52] [emoji52] [emoji53]
  4. M

    Sifa za wanawake

    Wapo tatizo mnawatafuta baa,kwenye daladala nkmke mwema anapatikana kwenye nyumba za ibada kwani wana hofu ya Mungu.
  5. M

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Mheshimiwa raid akienda Kagera ndio Nyumba zitainuka zenyewe nn maana ya Kuwait's NA mawaziri,raisi amefika kupitia hao NA bado anafuatilia kinachoendelea kule.Tunaolaumu tumechangia nini Kagera toa boriti kwako ndio uone kibanzi kwa mwenzio hata raia wa kawaida anamwakilisha raisi timiza...
  6. M

    Niliumizwa sana nashindwa kusahau

    Mtegemee Mungu atakushindia tu,utampata anayekupenda wewe NA mwanao.
  7. M

    Wakazi wa Dar badilikeni

    Wamtoboe nae macho.Dar badilikeni hasa. wanaume
  8. M

    Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

    Ni kweli au umetunga maana so kawaida MTT mmoka baba 3 no aibu
  9. M

    Tumebaki wachache sana, akina dada hamjajiuliza kuna nini?

    Mdada binafsi no kujituliza NA kuamini tu kwa Mungu hakuna kuchelewa.Vijijini waoaji kibao rudini nyumbani mijini hakuna waoaji.
  10. M

    Aliniacha akafuata ndoa, sasa anataka turudiane kwa kuibia

    Achana nae hakufai NA ndio maana Mungu alikuepisha NA balsa hilo.
  11. M

    Andika maneno matatu yenye ujumbe mkubwa

    Elimu haina mwisho,Elimu ni bahari.Makao makuu Dodoma.
Back
Top Bottom