Kila chombo kina sheria na kanuni zake. Sheria zake uelezea jinsi utaratibu wa kuendesha shughuli zote ikiwemo mamlaka ya nidhamu. Ni kweli mwenye kuchunguza ni vyombo vya usalama au tume maalumu ambavyo vyote huteuliwa na mamlaka ya nidhamu ya chombo husika. Majibu yeyote yanayopatikana...
Kazi utapata tu ipo siku amini ilo. Tuma maombi na Cv kila mahali usiangalie NGOs tu. Jaribu kuingia kwenye webste za mabenki mbalmbali na micro finances kama pride na Finca hutakosa. Kwa ninavyojua Pride ina watu wa SUA na sociologists wengi . All the best
Hii ipo chini ya Hakimu angeweza kumpa adhabu ya kifungo ncha nje kwani hakuna haja ya kuongeza watu magerezani. Mwenyekiti wa parole anaweza kuingilia kati sasa baada ya kuhukumiwa. Ila mahakimu wabadilike sio kila mtu ni wa kuhukumiwa kifungo cha ndani.
Pole sana ndio hivyo watu wengine hawathamini kitu cha mtu. Na labda ungeliona hilo gari linavyokimbizwa na kupitishwa kwenye mashimo mwakati wewe mwenyewe unalitunza ungetamani kulia. Has vijana wadogo hao waogope kabisa watakuuzia kesi hivi hivi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.