Recent content by mama yu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa JF, single mothers waliwafanyia nini?

    Single mothers =Single fathers.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wazo la leo

    Tanzania inawezakana!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Amani: Wastara atolewa mahari

    Ha ha ha. Kwani kajioa mwenyewe. Hata wanaume wanapenda kuoa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Izack Emil afikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumtukana Rais Magufuli Facebook

    Tatizo alitukania FB, angekuja humu!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Binti Ajinyonga, aacha majina ya watu anaowadai wamlipe

    Waweza kuta hata aliyeandika hapo sio Yeye!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe enzi za ujana wake

    Mkuu naomba unijuze kuhusu kigezo cha macho ili kumjua jasusi au kupata kazi ya ujasusi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani akikabidhiwa gari ya kubebea wagonjwa Ikulu

    Yaan nafungua Uzi huu ,na taarifa ya habari ya kwenye redio inatangaza.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Papaa Msofe, Alex Massawe wahukumiwa

    Wachunguze na kifo cha marehemu..maana kuna utata...kwa nn walikataa kumrudishia hati yake ya nyumba?halafu kikatokea kifo hiko cha utata.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Anga limechafuka

    Hebu tuonjeshe "procedure" mojawapo ya jinsi wanavyotibiwa ili kukwepa kutubuliwa majipu?wanamsahaulisha Mkuu???basi picha ya Mkuu si itakuwa inatumika sana huko??
  10. M

    JamiiForums Tanzania Diamond ampima DNA ‘Tiffah’

    Hapo sasa .hata mm sijapenda.kama aliamua kulea angeendelea hivyo hivyo...sasa ingekuwa sio wake sijui angemkataa?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya afunga chumba cha kuhifadhia maiti, Hospitali ya Rufaa Tumbi

    Pole sana watu wa mochwari.Mshana Jr.ulifanya kazi mochwari kwa kupenda au kwa kuwa Taaluma yako unayotupatia imechangia ww ufanye kazi huko?Nataka kujua tu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania DC Magu aagiza walimu kufanya usafi shule zao kila Jumamosi

    Walimu mwaka huu watakaguliwa hadi meno
  13. M

    JamiiForums Tanzania DC Magu aagiza walimu kufanya usafi shule zao kila Jumamosi

    Na wafanyakazi wengine mf.B.O.T nao warudi mwisho wa wiki wakadeki vyoo vyao.
Back
Top Bottom