Nimesikitika, nimefedheheka na nimeumia sana

Nimesikitika, nimefedheheka na nimeumia sana

Simu zimeingiliwa.

Nasikitika sana, ninapoona baadhi ya watu wanapiga picha mgando na za Video mpaka makaburini.

Hapa nalenga kwa Waislam, jamani inakuaje?

Na mnaelekea wapi?

Ina maana hamjui taratibu zenu!

Inakuaje mnapiga picha Makaburini kisha baadae zinazagaa kwa kusambaziana kwenye simu.

Kwa kweli haya mambo ni tofauti sana na maadili ya Kiislam.

Waislam badilikeni
 
Hiyo clip ilizunguka kwenye mitandao zamani na hiyo ajali ilitokea Nigeria sio Tanzania. Tuwe tunafanya utafiti kidogo kabla ya kuumiza nafsi zetu...ukiangalia kwa umakini utaona hizo gari zina namba tofauti na hata lafudhi ya watu na lugha waliyokuwa wanatumia sio Kiswahili.[/QUOTE

Mi nadhan hata iwe ya wapi...sio ustaarabu kufanya hvi.
 
Back
Top Bottom