Recent content by mama wa shamba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, unajua maana halisi ya Electoral College inayotumika kuchagua Rais Marekani? Jifunze

    Mkuu ni sawa lakini mie nilielewa tofauti kidogo na wewe ni kwamba electoral college votes ni zile kura ambazo kila jimbo linapewa kutokana na wawakilishi wake mfano Dar ina majimbo kumi manake ina kura kumi Mwanza labda ina kumi na mbili manake kura kumi na mbili na hii haijali kama Dar ina...
  2. M

    JamiiForums Tanzania 2016 US Elections - Exlusive discussion thread

    Oii
  3. M

    JamiiForums Tanzania Asiposhinda Hillary Clinton nahama Tanzania...

    Safari njema
  4. M

    JamiiForums Tanzania Trump anachanja mbuga mbele ya Hillary

    Hapo ndipo itakapoonekana kura za hazifai na wachambuzi wengi waliosema tayari Clinton ana 270 sijui watajisikiaje
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma kupunguziwa mishahara kwa zaidi ya 30%

    Wanakata 2/3 unabaki na 1/3
  6. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwijage: Sekta Binafsi wekezeni kwenye kinywaji cha Gongo

    Sure ni kweli imesomesha wengi
  7. M

    JamiiForums Tanzania VITUKO VYA Juma Pondamali

    Nakumbua mechi moja walicheza.na.African sport lilipingwa shoot na victor mkanwa akalidaka victor akaonyesha ishara ya.kusikitika kudakwa shoot lake basi akaamua kumrishia apige tena.victor hakufanya makosa akitia wavuni kusawazisha baada.ya mechi ilibidi ffu wamsindikize...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Lusinde: Dalili ya kufilisika ni kushindwa kulipa madeni. Serikali inalipa, Mbowe amefilisika!

    Azungumzie issue ya watafiti waliouwawa.jimboni kwake kwa imani potofu za kunyonya.damu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

    La mikutano ya kisiasa halikujibiwa baada ya tido kuingilia kati
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe ameongozwa na chuki dhidi ya rais Magufuli na Serikali yake

    Bungeni anatoa.mawazo.na kupingwa kwa hoja anayepaswa.kumpinga.ni msemaji Wa serikari(waziri husika) hi yo usimuhukumu bungeni ni mjadala kwa kutofautiana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mteule wa Rais anakuwa na kura nyingi kuliko wengine wote, CHADEMA eleweni

    Wapo MaRC na MaDc waliokataliwa na wananchi kilango,mwari,kebwe,zambi.nao.utasema wanawakilisha wananchi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nilimtelekeza mke wangu, nimerudi nimekuta rafiki yangu kamuoa

    Pigania nyumba yako urudishiwe ila.kama mlijenga kipindi mpo kwenye.ndoa ni.vizuri ikauzwa mkagawana na wewe ukatafuta.maisha engine.kama ulizaa naye chukua watoto wako ambao sio wako usichukue
  13. M

    JamiiForums Tanzania BMT: Marufuku Simba Na Yanga Kubadili Umiliki, Zibaki Kwa Wanachama

    Simba na Yanga zilikiwepo kabla ya BMT haijaanzishwa itakuwaje iwaingilie
Back
Top Bottom