Recent content by Mama timmy

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kapuya na pesa za ufisadi wa kampuni ya kijasusi ya CATIC International

    Halafu anaibuka mtu anasema hayo ni mambo binafsi ya kapuya hawezi kuhojiwa.ningelikuwa na uwezo ningewachapa risasi wote.kapuya na kava
  2. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda "Maybe It's Time to Talk to Your Armed Opposition" - Ugandan Yoweri Museveni Tells Rwandan Kagame!

    Kweli kagame anaanza kupata majibu ya unafiki wake
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

    Halafu babu seya amefungwa!huyu anatanua tu!kazi kweli kweli
  4. M

    JamiiForums Tanzania Yajue madhara ya kutumia vidonge vya paracetamol au panadol kwa muda mrefu

    Nashukuru kwa elimu hii.dawa zipi za maumivu zisizokuwa na Madhara haya?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Balozi Isaac Abraham Sepetu (baba yake Wema Sepetu) afariki dunia

    Ni kweli kabisa.alale pema peponi mzee sepetu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

    Unaonaje ukiongea na mwenye nnchi ili akupigie Chapuo nafasi hiyo uishike wewe?huenda ukakamilisha matarajio yako na nafsi yako ikapata amani.
  7. M

    JamiiForums Tanzania VINCENT NYERERE ni Mgonjwa na yuko Hospitali kwa matibabu

    Pole sana mbunge
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tunda hili kikwenu unaliita jina gani?

    Ni bibo na korosho yake
  9. M

    JamiiForums Tanzania FACEBOOK CURENTLY HAS 4 VIRUs ATTACKS

    Asante kwa taarifa bosi.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jambazi Mstaarabu

    Waende shule wakasomee si kutegemea kipaji tu,vinginevyo wataendelea kufanya nyanyambuu Siku zote.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Boti linawaka moto bahari ya Hindi

    Poleni sana mliopatwa na ajali hii hasa wavuvi na familia zao.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Emirates yafanya maajabu uwanja wa ndege dar es salaam

    Sababu za ku overshoot kwa ndege ni Kama rubani ameona runway si salama kutua,Kama moja ya landing procedure haikukamilika,Kama rubani ameamriwa na aircraft controller ku overshoot,Hali ya hewa,misaproach.hivyo rubani wa ndege husika ndiye anayejua sababu ni ipi ya kufanya overshoot.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa wingi wa damu kwa Watoto (Anaemia)

    Ni kweli kabisa ila mtoto wangu anasumbuliwa na mafua mara kwa mara na daktari ndiye anamwandikiaga hizo dawa.je inaweza kusababisha kutokuongezeka kwa damu ya mtoto?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa wingi wa damu kwa Watoto (Anaemia)

    Mzizi mkavu,je matumizi ya antibiotic mara kwa mara kwa mtoto inaweza kuwa ni sababu ya upungufu wa damu kwa mtoto?
Back
Top Bottom