Recent content by mama mia

  1. M

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Maswali ya 'papo kwa papo' kwa Waziri Mkuu

    Mh, mi sikumwelewa kabisa! mtanisamehe kwa hilo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nataka ya peke yangu mie

    Njoo chukua la kwangu la mchina ila usisahau kupita kwa mangi na chupa ya maftataa, miye cku hiz sipiki
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wakwe hawaelewani

    Ni swala la uelewa, kujitambua, na kuyakubali mabadiliko. Nitafafanua kidogo: kijana kabla hajao mara nyingi anakuwa karibu na familia yake (baba, mama) hata kama amepanga haoni shida kutoa matumizi kwa familia yake (japo si wote) lakini anapooa automatically akili yake anailekeza kwa mamsapu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nani yuko sahihi,..Obama au Michelle?

    DC, Obama asingeweza kumwoa mwanamke mwingine coz Michelle ndiye mkewe! inawezekana asingemwoa Michelle asingekuwa Obama tunayemfahamu. .....napita njia nimeacha mboga jikoni mwayego
  5. M

    JamiiForums Tanzania Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    TUACHE KUTETEA UPUUZI..... UHALISIA NI KWAMBA WANAFANYWA KINYUME NA MAUMBILE...SAWA NA VIJANADUME VIVAAVYO HERENI....NAO WANAFANYWA KINYUME NA MAUMBILE YAO....! Mengineyo ndiyo yanaingia baada ya maana halisi kupita ahsante kwa kusema ukweli unaofichwa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mgongo

    mbona mie sifanyagi hivo?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kulikoni jaji mkuu-Othman Chande / Lawrence Masha

    Kwani kuna tatizo gani akiwa naye? hata wewe ungekuwa naye lazima wangesema!
  8. M

    JamiiForums Tanzania ngo ngongo ngo!

    Karibu mgeni mwenzangu, JF kuna mapochopocho ya kufa mtu hivi wahusika tuko jikoni tunakuandalia. Jisikie nyumbani:hug:
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kupenda kunaisha lini?

    Upendo ni kitu natural my dear huwa hakiishi, tamaa ndizo zinatusumbua then tunasema kupenda, neno upendo lina nguvu sana kuliko tunavyofikiria
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hodi! Hodi, jamani wooodi!

    Habari zenu wanaJF, naingia rasmi kwenye jukwaa naombeni hifadhi ya muda, tushauriane, tukosoane kwa amani na upendo. Ahsanteeeeeeeeeeeeeeeee!:amen:
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

    Mh! CCM kuzaliwa upya! kakudanganya nani?:behindsofa:
Back
Top Bottom