Recent content by mama magezi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Padre Amigu; Tafsiri potofu juu ya Talaka

    Lakini wewe ukikosea unataka msamaha wa Mungu! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Tanzania na kasumba sugu

    Kweli kabisa mwanzisha mada
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Tanzania na kasumba sugu

    Hapa mliowezaje
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tusemezane Jumapili; Jinsi ya kuondoa uchungu wa moyo

    Amefundisha vizuri sana na maombi ya nguvu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Benki ipi ina riba nafuu kwa mkopo wa watumishi?

    Hapana ni 22% .. Sent from my SM-T355 using JamiiForums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Waziri Mwakyembe afiwa na Mkewe Linah Mwakyembe

    Pole kwa mh Mwakyembe . Ni kipindi kigumu kuanza maisha bila mwenzi wako wa miaka mingi hadi umri huu. Sent from my SM-T355 using JamiiForums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania Madini: Ukiritimba huzaa rushwa na ufisadi. Profesa, hujaliona hilo?

    Hawa vijana wanashangilia tu sababu wanafikiri umempinga JPM kumbe unapinga kitu ambacho ndio msimamo wa Chadema muda mrefu. Tatizo hawajui msimamo wa chama chao kwenye vitu vya msingi hadi Lissu atoe tamko tweeter tena tamko binafsi linageuzwa tamko la chama na vijana wanasimamia hicho hicho...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri Usioombwa: Andrew Chenge Muajiri Lissu Mapema

    Bad boy, bad boy. They are coming after you Chenge, what u gonna do? .....hahaha ....ooooh bad boy!
  9. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waache kabisa kuwa reactive wawe proactive kama awali katika siasa za nchi yetu

    Tunaitaka ile CDM ya makamanda ...kwa CDM ile ya Dr Slaa mbona JPM angechoka ...CDM haijawahi kupewa uhuru wa kufanya siasa ndio maana tulipigwa sana mabomu lakini tulisonga. ..tumuombe radhi Dr Slaa arudi turudishe ari na umoja wa zamani ...huku mitandaoni tumegeukwa na makamanda kibao hasa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Richard Kasesera Mwenyekiti Bodi ya Madini, Anazo sifa Stahiki??

    Tatizo hilo la katiba wapinzani hawana mkakati wowote kulifanikisha
  11. M

    JamiiForums Tanzania Habari wana Jf

    Mmmh!ilo zito nitarijuliawapi hilo dunde mkuu kha!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Habari wana Jf

    Asante mjomba nashukuru
  13. M

    JamiiForums Tanzania Habari wana Jf

    Asante sana nashukuru tupo pamoja.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Habari wana Jf

    asante nashukuru
  15. M

    JamiiForums Tanzania Habari wana Jf

    mambo vipi watu 8,dah nashukuru sana !
Back
Top Bottom