Recent content by Mama Jazmin

  1. Mama Jazmin

    Mzee, unapenda movies kali? (Session 04). Weekend hii ruka na hizi!

    Mkuu naomba link ya channel yako huko telegram
  2. Mama Jazmin

    Natafuta rafiki wa kweli

    Nadhani ana pepo la ngono...kumbe umeshamahtukiaaa
  3. Mama Jazmin

    Baraka Da Prince aonesha nyumba yake

    Yeye aliyejenga kwenye mteremko ataishi salama na nawewe unayelala sebuleni kwa dada/shemeji nani ataslide?am nawe unajiita mwanaume
  4. Mama Jazmin

    Samsung S6 edge bei ya kutupa

    Haujaweka specs tutajuaje kama internal memory ni 1GB
  5. Mama Jazmin

    Pata Simu kali ya kisasa kwa bei pouwa kabsa

    Galaxy A9 unauzaje chief?
  6. Mama Jazmin

    Nini kimemkuta Ommy Dimpoz?

    Uwongooo
  7. Mama Jazmin

    Natafuta mfanyakazi wa ndani aliemaliza form four

    Nakuunga mkono,wangu hajasoma kbsaaa basi hata time management inamshinda kila kitu uwe unamwambia hata kama haupo home,inabidi uwe unapiga simu kujua anakuwa na rtb zipi,akisema afue bas mjue hamli siku hiyo,wala hamuhudumii mtoto,akimuhudumia mtoto ujue nyumba haisafishwi siku hiyo,akisafisha...
  8. Mama Jazmin

    Nauza Iphone 4s bei ya kutupwa

    Haujaandika rangi gani?ina internal memory ngap? tangazo lako limefeli
  9. Mama Jazmin

    Nauza blackberry 9300

    Interested ni PM tafadhali
  10. Mama Jazmin

    Nauza blackberry 9300

    Simu tajwa hapo juu,ina scratches kidogo sababu ya kutumia bila skin pochi...naiuza elfu 80,haina tatizo lolote nimeitumia kwa miez 8!niko Dar,sababu ya kuuza,nimepata smartfone ingne!
Back
Top Bottom