Mzee, unapenda movies kali? (Session 04). Weekend hii ruka na hizi!

Yani ni hivi kama movie hazichezi kwenye deki inawezekana uwezo wa movie ni mkubwa kuliko deki,cha kufaya weka flash yako irudishe kwenye pc yako kwa mara nyingine tena harafu! Hizo movie ambazo umeshazichukua zirudishe tena kwenye pc au kama zimo basi unachukua moja unaipeleka kwenye file flani hivi limeandikwa convert,

Sasa hapo unachagua kuna aina nyingi za kuweka mfumo gani unaotaka sasa wewe chukua la MPEG4 mara nyingi ndo huwa inacheza kwenye deki harafu convert zote hizo! Baada ya hapo urudishe kwenye deki zitacheza.🙏
mkuu nasema ubarikiwe vilivyo
 
Mdau, kuna movie ya kikorea inaitwa "the suspect" naitafuta sana , dondosha mule twende nayo sambamba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom