Recent content by mama hero

  1. mama hero

    Mume wa Rais katika dunia ya mfumo dume

    Mungu akusamehe kwa maana hujui utendalo Huyo aliyekuumba wewe unakojoa huku umesimama ndiye huyo huyo aliyemuumba mama wa watu na mama ako,hakuna hata mmoja alitaka kuubwa jinsi alivyo bali ni mapenzi yake yeye?
  2. mama hero

    Angekuwa ndio Magufuli kapokea report ya CAG leo, naamini angefanya maamuzi haya ya kishujaa...

    Naunga mkono kauli yako ya kwamba ,ripoti ingekuwa ya kusifia tu,hakuna hasara yoyote ya shirika pendwa la ndege na zaidi sana tungeoneshwa makusanyo na mwenendo mzuri was serikali yake.
  3. mama hero

    Mwanasheria Albert Msando amvaa Lulu kisa Mali za Majizzo

    Kilaza wa kwanza wewe! Pili tafuta mali ndugu acha kuzipangia mali za mwanaume mwenzio ampe nani na asimpe nani!
  4. mama hero

    Mwanasheria Albert Msando amvaa Lulu kisa Mali za Majizzo

    Hata km wapo 20 I hope kila mtoto atarithi sehemu yake,mwisho wa siku mali itarudi kwa mama.
  5. mama hero

    Mwanasheria Albert Msando amvaa Lulu kisa Mali za Majizzo

    Muangaliege majina ya kuwapa watoto wenu,sio shida,tabu nk Lulu anabebwa na jina lake,licha ya yooote aliyopitia lakini jina lake linamsafisha "LULU" mnataka awe sawa na kina shida?
  6. mama hero

    Mwanasheria Albert Msando amvaa Lulu kisa Mali za Majizzo

    Ndio itakavyokuwa kwa Lulu! Akizaa mchezo kwishaa,watoto wakipata ndio kapata Lulu au nasema uongo Msando? Hakuna mwanaume atakayekubali eti azae au awe na mali halafu mali awarithishe ndugu kina Msando halafu watoto wake wabaki masikini!! Au hili hukufikiria eti Msando?
  7. mama hero

    Mwanasheria Albert Msando amvaa Lulu kisa Mali za Majizzo

    Acheni roho mbaya! Mfano lulu amepata mtoto,majizo akamuandika mtoto kwenye hizo mali zake,majizo akaitwa na Mungu baba,mali zitabaki mikononi mwa nani? Bado mtasema hastahili kuwa na hizo mali kisa hawakutafuta wote wakati wanafunga ndoa? Roho mbaya tuu,mali zinawauma utadhani mlimsaidia...
  8. mama hero

    Sipo tayari kufanya ajira take home chini ya milioni moja

    Ndugu kuna kazi mshahara mdogo marupurupu ni mengi zaidi ya mshara,na unaweza usiuguse mshahara wako were dharau hiyo ndogo wakati hujui mbele yake kuna nini? Nakwambia hivyo sababu nimeona kwa mtu wangu wa karibu,nae mshahara ulikuwa laki tatu,lakini alivyoozea mazingira alikuwa anakaa hata...
  9. mama hero

    Fridge la mtumba v\s la dukani

    Friji jipya linadumu sana,Mimi nilinunua friji aina ya Boss huu mwaka wa 6 hakuna cha fundi wala nini! Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
  10. mama hero

    Jana nimebeba TV, laptop, pasi, vitana, vijiko, n.k kwa niliemdai, leo kanirudishia pesa, pesa ya ada ya mtoto ilifeli

    Usiombe,Mimi mpaka leo huu mwaka 3 namdai rafiki yangu milioni 2,hapo alikuwa anataka milioni 3. Alisema vikoba ana zaidi ya milioni 3,kwahyo akasema nimuazime milioni 3 akivunja atarudisha hela yangu,Mimi kwa kumuamini best yangu nikamkopesha 2.5m,akavunja akanipa laki 5 tuu!toka hata cent...
  11. mama hero

    Utaratibu wa mwanamke kupewa pasu kwa pasu baada ya talaka bila wao kuchangia ni wa Hovyo na kandamizi kwa wanaume?

    Hii naona inaegemea sana kwa wamama wa nyumbani ambae anamtegemea mume kwa kila kitu hapo pasu kwa pasu inaweza ikawa ngumu. Lakini huyu mwanamke ambaye yupo kazini weka mia aweke mia mnunue kiwanja,mara mnunue tofali au mshahara wako kopea wangu utahudumia familia hapo pasu kwa pasu itahusika.
  12. mama hero

    Connection ya Korosho nje ya Tanzania

    Asante sana Umakini unatakiwa.
Back
Top Bottom