Recent content by mama D

  1. mama D

    JamiiForums Tanzania Wanne mbaroni kuhusiana na kesi ya James Temba

    Vijana na wanaume Ukiona mwanamke wako ana mwanaume mwingine Archana nae kulinda future yako na ya mwanaume mwenzako Ona sasa, Ona sasa James amekufa na anaenda kuzikwa bila kichwa Stephen, Twalibu na Muchael watafungwa maisha au kunyongwa Halafu Anna/Happiness Lema atakuwa huru na atapata...
  2. mama D

    JamiiForums Tanzania TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

    Ayubu 14:1 "Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu." Lala salama Jenista Pole kwa familia na wote walioguswa na msiba
  3. mama D

    JamiiForums Tanzania Kama kawaida yenu Mtu kafa kwa Stress zake na BP kwa safari hii Kuachwa ambako hakukutegemea kwa Ushirikina wake mnasema Kauliwa

    Lala salama Jenista Ayubu 14:1 Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu.
  4. mama D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Happy International men's day to all

    Wanaume imara, familia imara, jamii imara na taifa imara Mwenyezi Mungu awajalie wanaume wote wanaokuwa, wanaozaliwa na watakaozaliwa wawe vichwa na viongozi katika kila jambo. Wanaume mkiamua kusimama kwenye nafasi zenu jamii itapona. Hatutakuwa na mashoga, wasagaji wala marioo Tunawaamini...
  5. mama D

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mchekeshaji maarufu MC Pilipili afariki dunia

    Mbaya sana
  6. mama D

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo wa matumizi ya dawa za jamii ya viagra

    Amina Amina
  7. mama D

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dotto Biteko atemwa rasmi na Rais Samia

    Kila zama na kitabu chake
  8. mama D

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mchekeshaji maarufu MC Pilipili afariki dunia

    Roho ya mauti imeinuka sana 😢 Mwenyezi Mungu aturehemu
  9. mama D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anachelewa sana kurudi nyumbani anasema akitoka kazini anaenda kwenye maombi

    Ndoa ni makubaliano kati yenu. Nyie mikubaliana nini kuhusu ibada Mume ni kichwa kiongozi kiongozi wa mke kma Kristo alivyo kichwa kwa kanisa. Wewe unamuongoza vipi katika kumtafuta Mungu Usipofanya majukumu yako wewe mwenyewe nyoka atakusaidia kufanya
  10. mama D

    JamiiForums Tanzania TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

    Pole kwa wafiwa na wote walioguswa na msiba Rest well Job
Back
Top Bottom