Recent content by Mama chuma

  1. M

    Biashara ya ubuyu

    Nashukuru kwa taarifa,ila hujasema uko wapi,au watu watakupataje ili waweze kuupata,hata contact za simu
  2. M

    Migogoro ya ndoa inayohusisha ndugu wa wanandoa

    Mama ni mtu muelewa hasa anapotaka furaha kwa mwanae,mtafute mama yako ongea nae vizuri,kua hilo ni chaguo lako unamuomba baraka zake,then mwambie mkeo akipata kitu hata kidogo awe ana mpa mara kwa mara vizawadi kujenga ukaribu,kama mna watoto achukue simu ampigie awaambie msalimieni bibi...
  3. M

    Migogoro ya ndoa inayohusisha ndugu wa wanandoa

    Mama ni mtu muelewa hasa anapotaka furaha kwa mwanae,mtafute mama yako ongea nae vizuri,kua hilo ni chaguo lako inamuomba bataka zake,then mwambie mkeo akipata kitu hata.kidogo awe ana mpa mara kwa mara vizawadi kujenga ukaribu,kama mna watoto achukue simu ampigie awaambie msalimieni bibi...
  4. M

    Jitengezee mchanganyiko wa viungo nyumbani

    Mumy naomba na viungo vya chai jamani
  5. M

    Lishe kwa mtoto - Unampikia nini mtoto wako (miezi 6-12)

    Asante saana farkhina,nimejua vitu vingi kupitia thread zako hasa mapishi,Mungu akubariki zaidi.
  6. M

    Lishe kwa mtoto - Unampikia nini mtoto wako (miezi 6-12)

    Hiii thread ni nzuri sana,nimepitia coment za watu ninashukuru nimepata vitu vizuri sana,asanye kwa muanzisha thread,ila mie mwanangu ana miezi mitano nimeanza na uji wa karanga na maziwa,naomba kujua oats nini sijapata jibu nataka nimjaribu mwanangu.
  7. M

    Sore nipples

    Anywe uji mwepesi,maziwa,supu na mtori,km bado atafute maziwa ya kopo ingawa ya mama ni nora zai,kuhusu kitovu ni hadi siku 40 wengine na kidogo ila anapoenda clinic awaoneshe hicho kitovu watajua chakufanya wenyewe kwani watoto wengine vinachomwa nasikia
  8. M

    Secret lover huyu mmhh!!

    Yaani unafamilia unadanganywa kama mtoto,hizo roses chocolate za nini,hapo ungempiga stop au usingepokea nakuanza kugawa,kwa kufanya hivyo umekubali zawadi na ndio maana akawa na nguvu ya kutaka mkale lunch,then kwa nini ulikubali kwenda nae lunch ungekataa kingeharibika kitu,jilinde na...
  9. M

    Mwenye idea na octopic pregnancy

    Mwambie aende hospital nyingine kwa uchunguzi zaidi kwani nijuavyo mimi ectopic ni hatari kwa maisha ya mama
  10. M

    Sizielewi sehemu hizi za siri

    Hahaha nimecheka hadi basi,tulia na uliye nae bdada,na kama unampenda basi unamfeel pia kwa hiyo atakua anakuridhisha unatafuta vingine vya nini ukamkosoe Mungu alichokiumba,ukiwa na tamaa kama hizo utaishia pabaya
  11. M

    Sikukuu imeharibika kwangu, hapapikiki wala hapaliki-Kisa Kondomu ndani ya Gari

    Dah pole saana ila nimependa msimamo wa mkeo,haiwezekan ukawa na marafiki ambao mkeo hawajui ni kosa mpaka hapo,alafu uta azimishaje gari lako na familia yako kwa mtu wa nje ya familia ukijiheshim hata marafiki watakuheshimu,kingine wewe na huyo rafik yako inawezekana hizo ndio zenu kwani huezi...
  12. M

    Simpendi hata kidogo

    Dah!tulia tu kwani kama humpendi sio lazima kua nae na pia sio lazma umtangaze cha msingi acha kupokea vitu vyake na epuka marafiki mcharuko kwani chuo ni kipindi cha mpito ambacho wengi hujutia wanapomaliza baada ya kushindwa kutimiza malengo,soma kwanza kwani kilichokupeleka hapo sio mwanaume...
  13. M

    mchumba wangu ataongeza mke wa pili

    Kwanza hakuna ostadh anaefungisha ndoa iman tofauti,anachotaka kufanya mumeo mtarajiwa ni hiki,ataoa mke muislamu afunge nae ndoa then mwezi kama huu hatokuja kwako kwani hairuhusiwi kupikiwa na mke ambaye huna ndoa nae ya ki imani,ushauri wangu mtafute huyo mwenzako mwambie mapema kua hutaweza...
  14. M

    Tempo za tra wanalipa shilingi ngapi?

    Zinapatikanaje manake naona tu
  15. M

    Nifanyeje nanyimwa Tunda la Mti wa Katikati?

    Badilishen mazingira mara moja moja token nendeni mbali kidogo na nyumbani,thn mpe mapenzi ya kweli sio wakati unataka tunda ndo unajidai kumpenda,mfanyie suprise nyingi 2,ukishindwa hebu safiri kwa muda wa mwezi ukirudi atakua amekumis,ukishindwa muweke chini mueleze tatizo thn atabadilika
Back
Top Bottom