Pole kwa familia, jumuiya ya Mzumbe, vyombo vya habari alivyokuwa anashirikiana navyo na watanzania waliokuwa wanamfuatilia kupitia vyombo vya habari. Maisha ya Prof Ngowi yameisha kwa ghafla sana, kama kwa kukatizwa hivi,kweli Mungu una siri kubwa. tunafajikika kuwa kazi zake zitaendelea kuishi
Uko sahihi asilimia 100. Cha muhimu mtu awe na malengo na taswira ya mafanikio yake na asikate tamaa. Hiyo kauli ya miaka 35 ni ya kukatisha tamaa na haifai kukubaliwa na wapiganaji.
Nakubaliana na wewe asilimia 100. Aombe msamaha wakazi wa jiji la Dodoma. Mimi nafahamu makao makuu ya mikoa yote bara na visiwani yakiwemo majiji yote matano. Lugha iliyotumika na huyu bwana ni ya dhihaka
Ukiacha, makabila machache kama wamasai na wagogo, ambapo kwa wagogo utamaduni huu unaisha, uvaaji wa hereni ulikuwa kwa wanawake zaidi. Wanaume wanaovaa hereni wanatumiwa kama wanawake.
Uvaaji wa hereni unauhusiano mkubwa na ushoga na ubasha. Tena inasemekana sikio la kulia lina maana yake...
Hongera kwa watu wa Zimbabwe na nchi nyingi za Kiafrika. Kitu kimoja kinatakiwa kueleweka kwetu. Awamu ya kupigania uhuru wa Bendera imeisha na kwamba waliopigania uhuru walifanya kazi kubwa na wanapaswa heshima, lakini kisiwe kigezo cha wao kuendelea kung'ang'ania madaraka kwani inawezekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.